Bill Gates azidi kushushwa kwenye world's rich-list ranking...sasa ashika namba 3!

Yaani huyu Jeff Bezos pamoja na kugawana utajiri wake na mtalaka wake bado anashika namba moja?

Namuona Dangote namba 76.....si haba tho....
Huyo Azim Premji namba 48 juu kabisa kabisa ya Dangote ndio yupi huyo, je ni huyu wa hapa Bongo!!? Maana tunaambiwa Dangote ndio top kwa Afrika!
 
Sasa kama hakuna cha bure kwanini ameshika nafasi ya tatu.....nilitarajia angeongoza kwa pesa ambazo hakuna yoyote ambae angeweza zifikia
Hakuna Cha bure duniani, Bali Kuna kitu kinakuwa nyuma ya pazia ktk misaada hiyo, anayeweza kukupa kitu Cha bure kabisa Ni mama aliyekuzaa...
 
Ila alishasema yeye sasa hivi hayupo kwenye kuangalia atakuaje tajiri zaidi, bali anajikita kwenye kusaidia wenye uhitaji wa msaada wake...


Cc: mahondaw
 
Halafu magonjwa wanatungenezea wao.
Na dawa wao westerners wanatuchezea akili.
Na misaada juu!!!
Yaani kwa uchafu wako uugue kipindupindu, typhoid ulaumu westerners kwa uzinzi wako uugue ukimwi ulaumu tena westerners.

Hata ufisadi mfanye na udikteta bado mlaumu westerners kwa hali hii maendeleo tutaendelea kuyaona kwenye ma-tv tu.
 
No nina ushahidi wa fedha zinazotolewa na bill gates kupitia Global Fund wananchi wanapata dawa za kupunguza makali ya HIV, Malaria, TB , NTD nk na hii ni kwa nchi zote masikini .
Halafu huyo huyo ni great investor kwenye viwanda vya dawa India etc ananza Kama msaada halafu mkishaona manufaa yake siku akiacha msaada mtaenda kununua kwake tu
 
Halafu huyo huyo ni great investor kwenye viwanda vya dawa India etc ananza Kama msaada halafu mkishaona manufaa yake siku akiacha msaada mtaenda kununua kwake tu
Mawazo ya watu masikini haya. Nitajie viwanda vitatu vya dawa ambapo Bill gates amewekeza India
 
unafahamu chimbuko la ubora ni nn. Ukifuatilia nchi znazopata ebola in ambazo raia wake wanakula chipanzee na kuusambaza ugonjwa uwo kwa nchi yengine.
Ila it doesn't make sense mzungu akutengenezee ugonjwa then et aghalamike kukupa aid / masahada wa matibabu kwel!! Think
Ni time africa tuache ushamba wakudhani upumbavu na umasikini wetu ni tumetengenezewa na wazungu. Yani psychological tunawaacha wazungu wakontuloo maisha yetu na sisi tunaendelea kupreach ushuz kwa our next generation kuwa wazungu wametufanyia hiki na kile ambayo c kweli


Point over point,ni kwel kabisa sisi watu wa Africa tumeumbwa kulalamika na atuja kataa wanatoa misaada. Ila ile misaada wanayotoa sio kisa wao wanatupa sisi ayo magonjwa n uongo ile misaada inatoka kama mgongo wa kulipa kodi ndogo ndio maana unakuta matajiri weng wa nchi za wenzetu wanatoa ela nying ila kwa udhamn wa serikal yao na wakifanya ivyo ata kodi yake serikalin inakuwa ndogo ila sisi tunachukulia tunabezwa kumbe n wakat wetu sisi kufungua macho
 
All In All, kuna matajiri wengine wengi tu ambao si rahisi kuwataja kwa sababu pengine ni kutokana na jinsi walivyoupata huo utajiri wao.

Mfano mzuri ni wanasiasa. Tukimchunguza kwa makini huyu jamaa (picha hapo chini) pamoja na Assets alizonazo, anawazidi matajiri wengi tu katika hiyo orodha ya Bloomberg. Ila tu utajiri wake hauwekwi Official kutokana na sababu mbalimbali.

1563709900499.png
 
Hizi pesa hakuna wakati zitatosha. Wakati Bw Gates aliposhushwa kutoka no 1 hadi no 2 tajiri duniani, alilia siku mbili mfululizo.
 
Back
Top Bottom