Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,515
- 6,489
Huyo Azim Premji namba 48 juu kabisa kabisa ya Dangote ndio yupi huyo, je ni huyu wa hapa Bongo!!? Maana tunaambiwa Dangote ndio top kwa Afrika!Yaani huyu Jeff Bezos pamoja na kugawana utajiri wake na mtalaka wake bado anashika namba moja?
Namuona Dangote namba 76.....si haba tho....