tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Baada ya kushika nafasi ya pili kwa utajiri duniani kwa masaa kadhaa hatimaye Bill Gate amerudi kwenye Kitu chake cha kuwaongoza matajiri wengine duniani.
Hayo yametokea baada ya Amazon Jeff Bezos kukalia nafasi hiyo ya kwanza kwa masaa machache.
Hisa za Amazon zimeporomoka na kumshusha kutoka nafasi kwa tofauti ya dollar billion moja.