Bill Gates amerudi kwenye nafasi yake kama kawaida!

Nakwenda kumpita Gates kwa mbali kabisa, its a matter of time lets wait and see!!!
 
Utajiri wa gates ni asilia sio fake fake kama hao wa hisa.. bill anauza vitu halisi vyake hardware na software. Pia kawekeza sehemu kibao...na anasaidia sehemu kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom