Bilioni16 kumtunza Fausta wakati anakula nyasi sio uhujumu uchumi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Picha kutoka maktaba ya ngorongoro inaonyesha haya ndio maisha ya bibi Fausta.

Hao hao Ngorongoro wanadai kwa mwaka wanatumia bilioni 16 kwa matunzo ya bibi (RIP) Fausta. 2017 awamu ya tano

Ina maana kwa mwezi wanatumia zaidi ya milioni 100. Kwa siku wanatumia mil 44.

Nashangaa hawatatekwa na kubambikiziwa kesi ya kuhujumu uchumi hadi muda huu.

FB_IMG_1577548620354.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kafa mwisho wa mwaka.
Katika bajeti ya bunge la mwaka kesho bajeti yake haitohesabika. Muwe wapole tu.
 
Kwa nini unawaza kula tu na wewe umejiita the great?

Kwa nini suala la usalama wake hujarifikiria?Umejiuliza gharama ya teknolojia ya ulinzi anayotumia inagharimu kiasi gani?

Dawa za kumkinga na maradhi umejiuliza zina gharama gani?Pengine ni special order kutoka viwanda vya dawa maarufu.

Jaribu ni kufikiri kidogo tu
Amekomaa kweli Faru Fausta, sijui anabeba "VYUMA".

Hizo hela hata wangesema wamnunulie "PIZZA na BURGER" kila siku kutwa mara sita, bili isingefikia kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wa Afrika tuna matatizo sana .
Wanyama kama hao kwa nini wasiruhusu makampuni binafsi kuwafuga mwenyewe.

Hela zote hizo wangeamua kuzitumia kwa kununua vifaa vya kisasa vya kulinda mipaka yetu kwa dhati kabisa hakuna kinyangarakata kingeingia kuwaua wanyama wetu.

Hapo kuna wizi mkubwa kama ule wa kujenga banda la mabati kwa mil.100. Ujenzi wa miundo mbinu ya maji.
Khatari sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unawaza kula tu na wewe umejiita the great?

Kwa nini suala la usalama wake hujarifikiria?Umejiuliza gharama ya teknolojia ya ulinzi anayotumia inagharimu kiasi gani?

Dawa za kumkinga na maradhi umejiuliza zina gharama gani?Pengine ni special order kutoka viwanda vya dawa maarufu.

Jaribu ni kufikiri kidogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Please apologize for being so stupid. Benefit yake aliyoileta kwa yeye kutumia Sh 44m kwa siku (kama ilivyoandikwa hapa) ni kiasi gani?
 
Picha kutoka maktaba ya ngorongoro inaonyesha haya ndio maisha ya bibi Fausta.

Hao hao Ngorongoro wanadai kwa mwaka wanatumia bilioni 16 kwa matunzo ya bibi (RIP) Fausta. 2017 awamu ya tano

Ina maana kwa mwezi wanatumia zaidi ya milioni 100. Kwa siku wanatumia mil 44.

Nashangaa hawatatekwa na kubambikiziwa kesi ya kuhujumu uchumi hadi muda huu.

View attachment 1305859

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni bilioni 16 au milioni 16 kwa mwaka? Pia mkuu kusema kwa mwezi ni zaidi ya milioni 100 siyo sahihi maana kwa mahesabu waliyotoa wao kwa mwezi ni kama milioni 1.3. Halafu eti ili kuhalalisha gharama hizo wametoa maelezo haya:

"Suala la gharama ya matunzo wala halikuwa hoja kubwa, kwa mwaka mmoja toka Septemba 2017 alitumia milioni 16.2. Hauwezi kumuweka katika mazingira maalumu bila kutumia gharama...Lakini Hifadhi ya Ngorongoro inaingiza mapato yake kutokana na hawa hawa wanyama, mwaka jana pekee tumeingiza shilingi bilioni 143, lazima tuwatunze hawa wanyama," amesema Dkt Manongi.
 
Marehemu Fausta aliye kuwa mjane wa marehemu faru John, ashitakiwa kwa uhujumu uchumi.

Najaribu kutengeneza heading ya gazeti.
Ebu nawe tengeneza tuone ipi itafaa kutokea front page kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Marehemu Fausta aacha billion 3 baada ya kula mboga za majani kwa miaka kadhaa huku akijilimbikizia hela zake

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Picha kutoka maktaba ya ngorongoro inaonyesha haya ndio maisha ya bibi Fausta.

Hao hao Ngorongoro wanadai kwa mwaka wanatumia bilioni 16 kwa matunzo ya bibi (RIP) Fausta. 2017 awamu ya tano

Ina maana kwa mwezi wanatumia zaidi ya milioni 100. Kwa siku wanatumia mil 44.

Nashangaa hawatatekwa na kubambikiziwa kesi ya kuhujumu uchumi hadi muda huu.

View attachment 1305859

Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa ujue alikua anaingiza kiasi gan cha pesa kupitia fausta peke
 
Back
Top Bottom