Bilioni za Tibaijuka ndio zile pilau?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,085
103,314
Wana Mleba wanahoji kuwa kuna kipindi Mama Tibaijuka aliwaletea pilau pale jimboni,wapiga kura wake wanaomba kujua kama zilitokana na Escrow?haijajulikana kama wanataka kumrudishia pilau yake ama lah!Tibaijuka amejitetea kuwa pesa hizo alizitumia kuboresha shule zake kwa ajili ya watoto wa maskini.Aidha imejulikana kuwa ada katika shule zake ni zaidi ya milioni 4!imehojiwa ni maskini gani wa kulipa ada milioni 4?
 
hahaaa,
Du, yawezakana,
Kumrudishia pilau yake n kutomchagua 2015, hapo pilau lake atalila mwenyewe
 
Nyinyi makuhadi nimewaambia kwa husda wenu na kuanzisha topics kibao za kumsabottage huyu mama kama Mungu hajapenda kamwe hamtafanikiwa na zaidi zaidi mtaishia kulose wenyewe,wanaume wazima mnashinda kupiga domo tu je mngekuwa wanawake ingelikuwaje?
 
Back
Top Bottom