Bilioni 30 za dhahabu iliyonaswa zijenge flyover KAMATA junction haraka sana

Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.

Mkuu! Ni nani aliyekudanganya zile mali ni za wizi? Yani unaisapoti serikali itaifishe haki ya mtu!! Binadamu tunajisahau sana hata Mungu hatumuogopi....
 
Hivi ingekuwa wewe ndiye uliyekamata hizi ungekwepa mkono huu wa Sheria? Je, Serikali inawawezesha kwa kiasi gani ili hata wakiona vishawishi kama hivyo waweze kuishinda tamaa? Serikali imejiuliza ni kwa nini wafanyabiashara wa madini wanatorosha madini kila kukicha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nisingeomba hongo kubwa, ningeomba milioni 100 tu halafu nawakana, nawachomesha kwa askari wengine, nisingewasindikiza.
 
Kwanini tusiondowe zile taa za kuongozea magari pale chato tukaweka hapo ka flyover kwa nini kila kitu Dar tu!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom