Bilioni 27.5 zilizotumika Sherehe za miaka 50 ya Uhuru zingeweza kununua mitambo 125 ya X-ray

plus 3bn zilizotaka kupigwa ambazo kimsingi mkuu wetu na washkaji zake walitakiwa wakale bata na kupiga picha na wasanii wa kiwanja.tungeongeza takribani mashine zingine 14 za xray.bila kusahau misamaha ya kodi wanayopeana na mahoteli yao ambayo hayalipi hata shilingi TRA.CCM need to know that U CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME.!
 
Katika hali halisi serikali ya CCM kamwe haiwezi kujirekebisha kwa kukosolewa bali inatakiwa nguvu ya ziada. Haiwezekani sherehe zigharimu 27.5 bilioni wakati mahospitalini hakuna mitambo muhimu kama X-ray,CT Scan na madawa. Wananchi bado hatuitambui nguvu tuliyonayo siku tukiitambua hakuna serikali itakayotuchezea tena. Tunisia,Misri na Libya wananchi tayari wameshaitambua nguvu waliyonayo.
 
kabisa,vipa umbele ni viburudisho wizarani na nauli za mweshimiwa dhaifu kwenda kupiga picha na kina 50 cent nje......vinginevyo tungekuwa mbali sana katika maendeleo.
hivi nani alibaki na negativ ya picha?? jk alichukua original au, nataka kuiweka sebuleni kwangu! vizazi vyangu vijavyo visome historia ya nchi! pathetic!
 
Simple mind rule great mind. thats is point brother billion 27.5 tsh kwa sherehe.....! terrible....!!!!, hata wafadhili waliotukopesha hawafanyi huo upuuzi.
Tunaongeza deni la taifa sio tu kwa kutatua mambo ya msingi bali pia kwa neemesha wachache.
Now we tiried.
 
Na usisahau zile trilion 1.7 ambazo mashekh na maaskofu ktk tafiti zao walituambia kuwa zinapotea kutokana na udanganyifu, ukwepaji wa kodi na misamaha ya kodi.

Mkuua Aweda katika bajeti ya 2012/2013 inayokadiriwa kufikia 15 Trilion sekta ya Afya kwa ajili ya watanzania wote imetengewa 1.2 Trilioni tu pungufu Bilioni 500 kufikia kiwango ambacho Seriklai yetu iliyasamehe makampuni mabali mbali mbali kutoka nchi tajiri kodi katika mwaka mwaka wa fedha wa 2011/12 halafu mkuu wa nchi anatuambia kuwa Serikali ya Tanzania haina uwezo wa kifedha kutekeleza madaia ya madakatari kulipwa msahara bwa kima cha chni wa Shsilingi Milino 3.5 ambazo ni sawa na Shilingi 116,000/= tu kwa siku ilihali kati ya hizo Shilingo 30,000/= hutumika katika mafuta ya gari Shs 5,000/= Chai ya asubuhi, Shs 7,000/= Chakula cha mchana na Shs 10,000/= kwa ajili ya matumizi ya jioni kwa siku. Hapo dakatari hajasomesha mtoto, kulipa kodi ya nyumba kunua nguo n.k
 
Kwa kumbukumbu zangu, nadhani kiwango kilichotumika kwa sherehe za uhuru ni 60bil. Nakumbuka kuna thread tuliijadili humu ila kwa kasimu kangu ka mchina siwezi kuweka link. Wataalamu watusaidie!
 
kabisa,vipa umbele ni viburudisho wizarani na nauli za mweshimiwa dhaifu kwenda kupiga picha na kina 50 cent nje......vinginevyo tungekuwa mbali sana katika maendeleo.
ndo tabu ya kuwa na rais ambaye
yupo kwenye foolish age (adolescence)
 
Juzi nimesoma kwenye gazeti la mwananchi kuwa jumla ya fedha zilizotumika kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru ni Tshs. 27 billion!!!! Fedha hizo zilitumika ili kuwafanya vijana wa sasa na watoto waifahamu/waje kuifaham vizuri Tanzania. Inawezekana lengo ni zuri lakini je ni sahihi kutumia fedha zote hizo??
Pia huwa natafakari sana kuhusu shughuli za mwenge wa uhuru. Ni utamaduni wa inji hii kuwa na sherehe za mwenge kila mwaka ambapo mwenge huu unaodaiwa kuwa ni wa UHURU kukimbizwa kila mwaka kwenye mikoa yote ya Tanzania. Swali ni je kuna mtu/mbunge yeyote aliwahi kuhoji ni kiasi gani cha fedha hutumika kwa shughuli hii ya kila mwaka ambayo huwa haina maana saaana????
 
Back
Top Bottom