Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
We don't need viewers sio bongofleva hiyo use me tunataka trending cha msingi mzigo umeweka...mchukueni Manara atawafaa
 
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ulitakaje Mkuu?yaani unataka kumpangia MTU namna ya kufurahia mafanikio yake?
 
Wana Simba wamelainishwa na tabasamu la Babra na kumtosa baharini Haji Manara bila hata kutaka kujua ukweli wa madai yake. Kweli Simba hamna kitu pale. Timu imeshauzwa kwa 100% na kitendo chenu cha kukalia kimya haki ndogo za Manara zikikwapuliwa ni nyundo ya mwisho ya mnada iliowanyang'anya umiliki mdogo mliokuwa mmebakiwa nao.
Sasa its official kuwa Simba inamilikiwa na watu wawili kama alivyodai Haji Manara.
Kitu wasichotaka kusikia Simba ukiwaambia Mo ni tapeli, ukiangalia mgogoro wa Haji Manara na madam CEO indirectly ni la mgongano wa kimaslahi kati ya Manara na Mo yaani Mo hataki Manara apige dili za matangazo yasiyo ya kampuni za Mo sasa unajiuliza je Manara ni mwajiriwa wa Simba au Mo interprises
Kwaiyo mkataba wa uwekezaji wa Mo na Simba ni wa kimangungo tu maana hakuna clear line kati ya Mo Kama mwekezaji na makampuni yake kwenye dili za udhamini na matangazo kiujumla Mo ndio anayefaidika zaidi na Simba kuliko Simba kufaidika zaidi ni suala la muda tu. Ogopa sana mwekezaji anayewekeza lakini anaacha mfumo wa utegemezi sio kuwezesha ili kujitegemea
 
Eleza vitu angalau vitatu alivyotapeli mo hapo simba
 
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mlivyo na akili finyu muda wa dirisha la usajili mnawaza billioni 20 za Mo ligi ikianza mnaanza kuilaumu TFF kila timu lenu linapofungwa.

Mtakua lini nyinyi?
 
Swali dogo tu unazunguka twende kwa facts tetea hoja zako
Kila kitu nimesema kwenye comment ya mwanzo.
Hebu niambie nini kinatenganisha Mo Kama mwekezaji wa Simba na Mo interprises kama wadhamini kimaslahi
Je kuondoka kwa Haji Manara ni coincidence au kuna kitu zaidi maana inaonekana alikua analazimishwa kupewa mkataba utakao mbana asifanye dili ambazo sio za kampuni za Mo sasa je Manara alikua ni mwajiriwa wa Simba au Mo interprises
Muda, je mkataba wa uwekezaji umezingatia muda na dhamani ya pesa(money time value) toka aliposign mpaka alipotoa hiyo 20b
Nguvu ya majority shareholdes kwa kuzingatia 51% ni ya Simba sports je mpaka sasa wanayonguvu ya maamuzi kuhusu Simba ukizingatia mwekezaji ndio mdhamini mkuu hauoni mgongano wa maslahi
Ukijibu hayo maswali utajua kuwa mjomba ni tapeli
 
Brother hufikirii?Mo alikua mdhamini kwa kila kitu pale Simba obviously atakua favoured kwa yale machache atakayohitaji mbona hii ni basic sana kwenye maisha?na moja kati ya hilo ni wafanyakazi wa club tena wale wenye popularity potential wasitangaze bidhaa zenye mgongano wa kimaslahi na yeye na ikiwa Manara aliona anabanwa basi na yeye akaamua kuacha lazi simba na simba wamemkubalia kwa hio ni win win situation..Manara ataenda kupata pesa zaidi lakini Simba pia itakua imempa favour mdhamini wake and mind you Mo alikua ni kila kitu pale simba asijekukwambia mtu eti Simba ni strong bila pesa zake hizo ni bla bla tu mpira wa sasa ni pesa na timu za bongo bado hazina pesa ila angalau sasa misingi inaanza kutengenezwa labda huko mbeleni after 5-10 years zitaweza kujiendesha ikiwa tutakua tumetengeneza culture ya kiuchumi kwenye michezo yetu ikiwepo washabiki kuzoeshwa kuhudhuria mechi zote,washabiki kuzoeshwa kununua jezi genuine na vinginevyo.kwa hio kwa swala la manara iko wazi Mo ameiua favoured na ni sawa tu maana yeye pia kajivuta kuisupport Simba sports clum from being a banter club.

Post ya chini nakujib hayo mengine ngoja nitulie kidogo..twende tarataibu hivihivi kwa facts na kama hatuna facts tuende kwa reasonable opinions

Sehemu ya pili umeongelea nguvu ya 51%..yaani hao hakuna chochote kwenye timu wanachoprovide hakuna kabisa zaidi ya kutegemea kitakachozalishwa na timu ambacho kiuhalisia hakikidhi mahitaji ya timu..yani kwa kawaida tu lazima 49% zitakua na nguvu kwa sababu zifuatazo
1)Mo anamiliki hisa kubwa kuliko mtu yyte..kwasababu kwenye hio 51 sio kwamba wooote watakua siku zote na maamuzi sawa inawezekana kabisa kati yao pia wengi wakawa na maamuzi sawa na ya Mo..kwa hio wao huko ndani kutofautiana kwa vyovyote vile ni lazima 49 ishinde maana kiuhalisia yenyewe ina msimamo mmoja as a whole tofauti na hawa 51 ambao wanamisimamo mingi ndani yao.Labda ikitokea siku wooote hao wakawa na wazo moja la pamoja basi wataishinda hii 49 ya mo ila pia kipengele namba 2 lazima kizingatiwe.

2)Nani anaprovide kwenye timu lazima itaendelea kua na impact kimaamuzi..ikifikia hatua simba inajitosheleza kigharama za uendeshaji basi hapo maamuzi yatategemea nguvu ya shares

Ila kwa sasa sasa impact kubwa lazima mo anayo kutokana na nilivyoelezea
 
hivi unadhani hayo uliyoandika hawayajui? wanayajua yoote ila tatizo ni hulka za masikini kuchukia mtu aliyefanikiwa.
 
Hua nashangaa sana mtu akishakua tim pinzani basi anajiziba na macho asione vitu vipivyo wazi

Hongera kumbe naongea na mtu sio sahihi
 
Jenga na attack hoja sio mtoa hoja
Nimeona haujui au umepofuka na vikombe ila haungalii in a long term maana sasa Mo anaitumia Simba kufanya biashara zake in return kuwafurahisha na vikombe kidogo tu hiyo 51% unayoiona sio kitu ndio wenye Simba waliopigana kwa jasho na damu sio Mo sasa ukisema sio kitu naona sina haja ya kuendelea
 
1)anaitumia kibiashara ni kweli lazima apate faida
2)51 si kitu hakuna mahali nimesema hivo
3)vikombe kidogo..hii ndio sole responsibility ya timu kwa mashabiki
4)long run..unabase predictions zako kwenye assumptions za upande mmoja na kulazimisha kua lazima itakua hivyo..je kama isipokua kama unavyowaza?je kama huu ndio mwanzo wa simba kuanza football monopoly??maana kwa sasa obviously hakuna timu yenye angalau kimfumo na usimamizi zaidi ya simba..cha msingi wawekeze kwa mashabiki tu sasa ili at one point Simba iweze kuzalisha faida bila kutegemea maingizo ya pesa za nje ili ikihitajika wafanye kuongeza uwekezaji tu ila sio kwamba ni lazima..na hii naomba hata kwa yanga ili soka liwe competitive
 
Back
Top Bottom