Bilioni 2.5 za Sherehe za Muungano zilivyobadili Ma

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Moja kati ya ahadi ya Rais Magufuli ni kuona Jiji la Mwanza linakuwa kwenye muonekano mzuri wa miundombinu na hakuna foleni ya magari kwa mtu anaetoka Mwanza kati kuelekea Airport ya Mwanza.

Agizo la Rais Magufuli tarehe 26 April 2016, ni pesa zaidi ya bilioni 2 zilizokuwa zitumike kwenye sherehe za muungano zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwanza – Airport kuanzia eneo la Ghana Quarter hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.

Ujenzi upo kwenye hatua nzuri na kuna sehemu magari yanapita kwenye barabara mpya Ghana hadi kona ya Bwiru na ujenzi umefikia eneo la Nyamanoro hadi Pasiansi Mwanza, millardayo.com imezipata picha za upanuzi wa barabara ulipofikia kwenye hayo maeneo.

DSC_0214.jpg


DSC_0195.jpg

eneo la Ghana Quarter



DSC_0200.jpg




DSC_0212.jpg




DSC_0234.jpg


DSC_0231.jpg



hapa ni Nyamanoro

DSC_0230.jpg




DSC_0241.jpg


DSC_0245.jpg


DSC_0224.jpg


DSC_0226.jpg

maeneo ya kona ya Bwiru



DSC_0247.jpg


DSC_0255.jpg

eneo la Pasiansi kuelekea Airport

DSC_0249.jpg
 
Back
Top Bottom