Bilioni 185 za DOWANS ni hela chache sana kwangu - Rostam Aziz

Ni kweli kwa wizi ambao ameanza siku nyingi ni vijisenti..

Ila siku ataitwa awaeleze watanzania hizi hela na zile za vodacom, caspian and makampuni feki ya ujenzi ya kichina aliyoyaleta na kujipatia tenda za ujenzi kedekede tutajua ukweli.

Ila lazima keko siku moja imuhusu tu. Atakeasitake..
 
Si utoe ushahidi wa huo wizi wake? Kama hauna si kaa kimya.
 
Kama kweli ana uchungu na Tanzania si alilipe deni hilo ...tutamuona wa maana na wananchi wa Igunga watafurahi kwa kumchagua kuwa mbunge wao...

Haahaahaa, RA alipe bil. 185! azipate wapi? nadhani nyie hamjamuelewa ndo maana, alichomaanisha RA ni kwamba ndani ya miezi hiyo atakuwa ameshalipwa pesa hizo (Bil.185), kwa kuwa ni pesa za bure so atakuwa kama kwake ni faida, hana pesa za hivyo huyu mwizi tu na wizi wake soon utafikia tamati, hebu jaribu kufikiria ni biashara gani valid unayoijua weye anyofanya huyu shia itakayomwingizia japo 10M per month as a profit? nsthyniiiii!!!!!!!!-Lazima nimwendee kwa babu yangu Tumbatu tu ataona!
 
Si utoe ushahidi wa huo wizi wake? Kama hauna si kaa kimya.

Tuseme hatuna, bac wewe tutajie japo valid business yake moja tu huyo shia wako ambayo inampatia japo faida ya 50M per month-usipotaja ujue ndo ushahidi wa wizi wake huo-Mwiziiiiiiiii tu huyu hata kama hamtaki
 
Huwa najiuliza hilo swali kila siku,ana fanya biashara gani hizo za kumpa hayo mahela zaidi ya profesheno umisheni tauni..?
 
kama anatengeneza pesa hizo kwa miezi 4, sasa ubunge ni wa nini ndugu RA, au kichaka chako cha kujifichia ili ufanye ufisadi bila kusumbuliwa na serikali? tunakujua wewe ni mfanyabiashara mkubwa tena wa kimataifa - una makampuni mengi tu ya kimataifa hata hii ya Caspian international na nyinginezo zinazokuletea mamillion ya dola.

Hoja yangu ni kuwa huu Ubunge wa Igunga ni wa nini? je una uchungu na nchi hii na nia ya dhati kabisa kuwasaidia wana igunga na watanzania kwa ujumla ndugu RA?
 
CASPIAN

Unataka nyingine?

Hayo ya madhehebu yake umekosea, jaribu tena. Kwa hiyo usongo wako ni wa kidini?
 
Mbona Mbowe ana bili na biashara zingine za mabilioni lakini amegombea ubunge na pia ni Mbunge? Hiyo yako noi hoja finyu, Tanzania sheria kwa sasa zinaruhusu raia yeyote kuwa mbunge, haitazamwi kipato chake.
 
Kwa hiyo inawezekana JK ana mabaraza 2 ya mawaziri. Mawaziri wa kuhudhuria vikao formal za baraza na wale underground!!! Nadhani EL bado ni waziri mkuu underground

kaka, kundi lililom fix Sitta na kumsimika Anna Makinda ndiyo hilo hilo linaloongoza nchi hii - jamaa ni mafia wale. RA, EL na Chenge ndani - hizi ndizo ingine za CCM na Serikali yake.
 
Huwa najiuliza hilo swali kila siku,ana fanya biashara gani hizo za kumpa hayo mahela zaidi ya profesheno umisheni tauni..?

Tatizo ni lako hilo, au kwa kuwa huna mawazo ya kufanya biashara ndio tukusaidie? Ingia jukwaa la biashara utapata ushauri. Kwa kifupi, moja ya biashara zake ni kuwekeza kwenye miradi mikubwa, ndani na nje ya Tanzania.

Kuna kanila fulani humu, biashara kubwa wanayoijuwa ni kuuza ulevi. Na nadhani wewe ni wa kabila hilo. Na ndio maana mawazo yanakuwa finyu na ndio maana una hamu ya kujuwa wenzako wanafanya biashara ipi ya kuwaingizia mabilioni. Ingia jukwaa la biashara tutakusaidia mawazo.
 
CASPIAN

Unataka nyingine?

Hayo ya madhehebu yake umekosea, jaribu tena. Kwa hiyo usongo wako ni wa kidini?

nimekwambia "valid business" we unatutajia kile kikampuni cha pugu road kile ambacho ni kichaka cha kujifichia katika wizi wake-shia siyo dini juha weye; shia ni wale wanaokulia nyuma, so kama na weye ni mpambe wake nadhani lazma ugawe, nawajua vizuri sana wairan kwa nimeshakaa na mabinti wa ki-iran in more than seven years, na wako ready hata kufanya nao muta'a lakini shrti lao ni hilo-"uwale back". Kama huwajui ndo ivyo bana-SHIAA
 
kaka, kundi lililom fix Sitta na kumsimika Anna Makinda ndiyo hilo hilo linaloongoza nchi hii - jamaa ni mafia wale. RA, EL na Chenge ndani - hizi ndizo ingine za CCM na Serikali yake.

Pumba hizo
 
Tatizo ni lako hilo, au kwa kuwa huna mawazo ya kufanya biashara ndio tukusaidie? Ingia jukwaa la biashara utapata ushauri. Kwa kifupi, moja ya biashara zake ni kuwekeza kwenye miradi mikubwa, ndani na nje ya Tanzania.

Kuna kanila fulani humu, biashara kubwa wanayoijuwa ni kuuza ulevi. Na nadhani wewe ni wa kabila hilo. Na ndio maana mawazo yanakuwa finyu na ndio maana una hamu ya kujuwa wenzako wanafanya biashara ipi ya kuwaingizia mabilioni. Ingia jukwaa la biashara tutakusaidia mawazo.

Usituongopee bana, kawatafute saizi yako ndo uwaambie hivi, nani hajui kwamba rostam ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya maarufu, nani hajui kuwa yeye ndo mlanguzi mkuu wa Tanzanite, nilidhani unajua kumbe ni juha
 
nimekwambia "valid business" we unatutajia kile kikampuni cha pugu road kile ambacho ni kichaka cha kujifichia katika wizi wake-shia siyo dini juha weye; shia ni wale wanaokulia nyuma, so kama na weye ni mpambe wake nadhani lazma ugawe, nawajua vizuri sana wairan kwa nimeshakaa na mabinti wa ki-iran in more than seven years, na wako ready hata kufanya nao muta'a lakini shrti lao ni hilo-"uwale back". Kama huwajui ndo ivyo bana-SHIAA

Huna hoja.

Nyingine: share holder VODACOM Tanzania.

Unataka na nyingine? Sema tu, tutakusaidia.
 
Usituongopee bana, kawatafute saizi yako ndo uwaambie hivi, nani hajui kwamba rostam ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya maarufu, nani hajui kuwa yeye ndo mlanguzi mkuu wa Tanzanite, nilidhani unajua kumbe ni juha

Labda hii ndio inajishughulisha na madawa ya kulevya:

Africa Tanneries Ltd,
 
Tuseme hatuna, bac wewe tutajie japo valid business yake moja tu huyo shia wako ambayo inampatia japo faida ya 50M per month-usipotaja ujue ndo ushahidi wa wizi wake huo-Mwiziiiiiiiii tu huyu hata kama hamtaki

Umeziona? Nimekutajia tatu mpaka sasa hivi, jee zinakutosha au nikuongezee zingine, zipo nyingi tu. Au basi umetosheka?
 
Ni kweli kwa wizi ambao ameanza siku nyingi ni vijisenti..

Ila siku ataitwa awaeleze watanzania hizi hela na zile za vodacom, caspian and makampuni feki ya ujenzi ya kichina aliyoyaleta na kujipatia tenda za ujenzi kedekede tutajua ukweli.

Ila lazima keko siku moja imuhusu tu. Atakeasitake..

Bado keko inamhusu?
 
Back
Top Bottom