Bilionea wa Kirusi huru..aachiwa na kuondoka nchini Russia

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Khodorkovsky 'flying to Germany'
Updated 8 minutes ago

Russian ex-tycoon Mikhail Khodorkovsky is flying to Germany, hours after being pardoned by President Vladimir Putin, Russian news agencies report.

Mr Khodorkovsky had requested travel papers to see his sick mother who is being treated there, RIA Novosti quoted prison officials as saying.

Mr Putin signed a decree earlier pardoning Mr Khodorkovsky on the basis of "the principles of humanity".

Mr Khodorkovsky, 50, had been in custody for a decade.

The former head of the now defunct oil giant Yukos, who was once Russia's richest man, had been jailed for tax evasion and theft after funding opposition parties.

Mr Khodorkovsky left the penal colony where he was being held, in the Karelia region of north-western Russia, early on Friday afternoon.

The presidential pardon came after Russian MPs on Wednesday backed a wide-ranging amnesty for at least 20,000 prisoners.

Analysts say Mr Putin may be trying to ease international criticism of Russia's human rights record ahead of February's Winter Olympics in Sochi.

BBC © 2013
Mikhail-Khodorkovsky-001.jpg
 
Wanamuziki wa kike pia waliofungwa kuachiwa pia... Waliitwa#### Riot Singers
Russian singers.jpg
 
Warusi walitajirika kwa uwezo wa KGB. KGB walikuwa na uwezo wa kuwafilisi tena mara wakitaka.

Fikiri Warusi walivyokuwa masikini na leo ghafla mmoja ni Bilionea.

Hiyo kampuni ati alinunua kwa bei ya kutupwa na baadaye kwa miaka 5 ikawa anatisha kwa pesa.
 
issue ya huyu jamaa nliisoma sana 2003, kipindi hicho RAI ndio MwanaHalisi la juzi, unasoma first to last page, makala zote zimetulia.

Jamaa huyu ameachiwa sasa kutokana na hali ya kisiasa iliyopo Russia sababu mdogo wake wa damu ameamua kuingia kwenye siasa na ana wafuasi wengi, inawezekana wameingia makubaliano ya yeye kukaa mbali na siasa na bro wake kuachwa huru.
 
Khodorkovsky 'flying to Germany'
Updated 8 minutes ago

Russian ex-tycoon Mikhail Khodorkovsky is flying to Germany, hours after being pardoned by President Vladimir Putin, Russian news agencies report.

Mr Khodorkovsky had requested travel papers to see his sick mother who is being treated there, RIA Novosti quoted prison officials as saying.

Mr Putin signed a decree earlier pardoning Mr Khodorkovsky on the basis of "the principles of humanity".

Mr Khodorkovsky, 50, had been in custody for a decade.

The former head of the now defunct oil giant Yukos, who was once Russia's richest man, had been jailed for tax evasion and theft after funding opposition parties.

Mr Khodorkovsky left the penal colony where he was being held, in the Karelia region of north-western Russia, early on Friday afternoon.

The presidential pardon came after Russian MPs on Wednesday backed a wide-ranging amnesty for at least 20,000 prisoners.

Analysts say Mr Putin may be trying to ease international criticism of Russia's human rights record ahead of February's Winter Olympics in Sochi.

BBC © 2013

Unganisha dots: Alifungwa kwa kukwepa kodi lakini pia KWA KUFADHILI UPINZANI, kaaazi kweli kweli.
 
Wamarekani wamekiri Snowden ameiba mafile yenye siri nyingi
kamanda, mwizi akikuletea mikanda ya picha za adui yako, huwezi kumpa nafasi ya kukushautri chochote, huyo si rafi, ni mshirika, unamplipa pesa, unamweka kwenye radar na unahakikisha hajui yako kwasbabu he will do the same

snowden ana hali mbaya sana russia wanamtumia kisha watamuua

as for info za states, hajaiba inteligency au strategy, ameiba facts... ni kama wewe uibiwe file la mauzo ya biashara zako, litaonyesha numbers and your worth but halitaonyesha how you got rich etc.

USA lazima waseme vile, it is tactical

huko US kwenyewe snowden sio story for a while now, labda huku dunia ya kawaida

watch this space, snowded is a liability to himself kuliko his value to russians
 
Unganisha dots: Alifungwa kwa kukwepa kodi lakini pia KWA KUFADHILI UPINZANI, kaaazi kweli kweli.

Vyombo vya habari vya magharibi mara nyingi huwa haviandiki ukweli kuhusu Putin Russia. Huyu bilionea ni mmoja wa wale oligarchs waliyoifilisi Russia wakati wa uraisi wa Yelstin. Ni genge la mafisadi wa kiyahudi ambao huyu Bilionea ni mmoja wao. Kufungwa ni saizi yake maana ufisadi waliofanya Russia siyo wa kawaida. Soma kitabu kinaitwa Darkness at Dawn by David Satter utajua maovu waliyofanya hawa oligarchs.
 
nitakipataje kitabu hcho?,na je kinauzwa sh ngapi?
 
Kwa nini Putin ameamua kufanya hivyo? Je ni ushauri wa Snowden?
Putin ana akili sana - alishajua nchi za Magharibi zinatafuta visingizio vya ku-boycott michezo ya Olympic nchini mwake, moja ya visingizio ni wafungwa hao walio hachiwa huru, pili Urusi kutokubaliana na mambo ya ushoga nchini mwao - naona hilo alijapatiwa ufumbuzi na hakuna dalili yoyote ya Putin kubariki masuala ya Ushonga nchini mwake.
 
Back
Top Bottom