hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Kwahiyo hapo umenikosoa au umefanyaje ..mkuuHujaona Kamanda ameshaweka dondoo kuwa Inaonekana Jamaa amekufa kifo cha Kawaida?
Arafa atakaa ndani Kwa muda labda Kwa ajili tu ya usalama wake.
Kwahiyo hapo umenikosoa au umefanyaje ..mkuuHujaona Kamanda ameshaweka dondoo kuwa Inaonekana Jamaa amekufa kifo cha Kawaida?
Arafa atakaa ndani Kwa muda labda Kwa ajili tu ya usalama wake.
Mkuu Nimekuuliza tu kama hujaona comment ya Kamanda..Kwahiyo hapo umenikosoa au umefanyaje ..mkuu
SawaMkuu Nimekuuliza tu kama hujaona comment ya Kamanda..
Tupe taarifa ya ukweli basi100% ya taarifa hii ilio tolewa ni uongo TZ Mungu anawaona
Off course VIP hospital neededAkili yangu imewaza hivi....
Ni wakati muafaka sasa wa Zanzibar kujenga hispitali moja nzuri ambayo itakuwa kivutio kwa watalii na kuwahakikishia watapata huduma kama wako ughaibuni wakiwa vakesheni huko Zanzibar na wakipatwa na ugonjwa ghafla maana helabya matibabu pia itabaki Zanzibar.
Sijui nimeeleweka...!! Maana nimejaribu kufupisha sababu huwa nna maelezo marefuuuu.
Yaani hiyo hospitali iwe ni uwekezaji na ni sehemu ya utalii ambayo itahudumia watalii hata wazawa wakiweza kumudu gharama mradi huduma ziwe za hali ya juu na vifaa viwe bora na imara.
Happy Boxing Day.
ButInnalillah wainnailayh rajiun...
54 - 23=31
31 - 23= 8
Therefore:-
31 + 8 = 39
39 - 23= 16
Then:- 39 - 16 = 23
39 + 16= 54
So:- 54 ≠ 23 but 23 = 39
Tatizo lipo apo
Umeelewa lakini hiyo lugha ya namba?But
9-6=3
50-9=41
50-6=44
Huoni tatizo hapo?
Hiyo itakuwa ni Viagra tu ndio imepandisha mapigo ya moyo.Watakaomsogelea wahakikishe wamevaa barakoa, Covid haiogopi maombi.
Ndiyo maana nyama ya nguruwe inasafirishwa sana kwenda Zanzibar.Corona.
Zanzibar sasa hivi wamejaa warusi waliokimbia kwao kwa sababu ya corona kwa kigezo cha kuja kutalii.
KGB watapata majibu yote ndani ya masaa 24
Age is just a numberUmeelewa lakini hiyo lugha ya namba?
Huyo alipandwa na pressure baada ya kupewa sarakasi na mtoto wa Kizenj. Umri mkubwa vitoto vidogo, hayo ndiyo matokeo!Hapa mifuasi ya chama fulani itakuwa inafanya jitihada zote kufunika funika ili ugonjwa fulani usiwe ni chanzo cha kifo hata kama ndiwo.
Alaumiwe sana dobi Ila, kaniki ni rangi yake!
Apumzike kwa amani mtalii huyu. Yeye ni shahidi mwaminifu.