Bilionea wa Kijapan anawatafuta watu wanane wa kupaa nao hadi mwezini

Naam anaogopa kwenda pekee yake.
Anaogopa nini kwenda peke yake huko mwezini mpaka awapate wakumsindikiza, hana familia, ndugu, au marafiki wa karibu?

Hizi lifti za kudandia sio poa.
 
NIMESOMA BANGI IMETOKA...

Mtanzania wa KWANZA kaungia kwenye kampuni ya Kuelekea MWEZINI (sio blidi ya wanawake) Mtanzania huyo kapewa dollar Milioni 17 kwa ajili ya familia yake Unatamani apeleke nini huko MWEZINI
✈️
Bangi ikinitoka pengine nitakuelewa.
 
Back
Top Bottom