Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,714
- 2,703
Imagine kwa mwezi wanakusanya sh ngap?sema nini hili chama la wakubwaVyama vya wafanyakazi nchi hii ni vyama vya kifisadi.
Yaani vinaumiza wafanyakazi kuliko hata Mwajiri ( serikali ).
Zaidi ya 60% ya watumishi wa serikali nchi hii ni walimu. CWT wanakata 2% ya mshahara kwa kila mfanyakazi kwa kila mwezi lakini eti bado kujenga ofisi tu mpaka wachangiwe.
Upuuzi mtupu.