Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Hata mie nataka kujua.. Halafu huyu milionea mbona hata jina sijaliona? Wengine walipokufa picha zilirushwa sana kwenye whatsApp mbona huyu bado mpaka sasa?

hapo sasa, labda tukishajua hiyo hoteli ipo maeneo gani tutakuwa na cha kusema!
 
Kama nyie watu wa Arusha mmeamka mkiwa hamuifahamu kwa undani habari hii, kuna uwezekano kuwa hapa tunaingizwa choo kisichohusika kabisa

mie ndio kwanza nimeonea habari hapa, hoteli yenyewe sijui hata ipo kwa wapi mjini hapa.
 
Bilionea gani anakuwa na mke wa mtu?
Kajitakia mwenyewe
nawasikitikia watoto wake na ndugu kama anao
R.I.H Bilionea
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,

Mkuu na wewe ni mdau wa hii supu nini, naona kama una uzoefu nayo.
 
...So Sad, kwamba mpaka kufikia page a 9 hakuna habari za ziada juu ya kifo cha Mfanyabiashara mwingine wa Arusha. Alikuwa kweli na kiasi kikubwa cha pesa? Ni kweli alikutwa na kifo akiwa na mke wa rafiki yake? Ameishakamatwa? Je nini kauli ya mwenye mke?

Sooo many questions needing answers lakini watu wamekalia kubishana vigezo vya kuwa Bilionea! Anzisheni Uzi mwingine kuhusu vigezo vya kuwa Bilionea ili hapa tuendelee kupata taarifa muhimu kuhusu kifo cha Mwana Arusha mwingine Mfanya bishara...!!
 
Wanawake tumekuwa cheap for nothing. Mimi siamini kama mwanaume anaweza kukulazimisha kufanya mapenzi bila ridhaa. Wanaume my caution; ebu ongeeni na wake zenu kujua nini tatizo la kugawa uroda kama pipi. Vinginevyo tunamuhitaji Mungu aingilie hili swala!

Mungu tunusuru.
 
Poleni watu wa ar.
arusha ni mahali pazuri sana kupumzika
mbona sasa mnakuwa hivyo mwatuogopesha jamani.
 
Habari wakuu,

Naona a town wameandamwa sana na mtoa roho. Mmiliki wa Merimont Hotels & Lodges kakutwa amefariki jioni hii ndani ya chumba cha hotel ya City Plaza, iliyopokatikati ya jiji la Arusha.

Inasemekana alikuwa na mke wa rafiki yake aitwaye Chedi na mama huyo ametoweka na mamilioni ya fedha na gari aina ya Lincoln Navigator.

Mod's huyu Calculator awe prosecuted kwa hii habari...!
 
Hii habari kama haina ukweli mpaka sasa si iondolewe tu....... Huyu jamaa alidhani tuko Chit Chat?
 
Back
Top Bottom