Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,666
- 15,065
Bilionea wa wa madini ya Tanzanite na Ruby bwana Laizer amesema anasikitishwa sana na kitendo cha umeme kukatika kila mara na kupelekea washindwe kuendelea na shughuli zao za uchimbaji kama walivyojiwekea kwenye mpango kazi wao.
Ameiomba serikali kutafuta namna ya kupambana na kuondoa kabisa tatizo hilo kama kweli wanataka Tanzania ya viwanda itokee na wajasiliamali waweze kuinuka kiuchumi.
Ameiomba serikali kutafuta namna ya kupambana na kuondoa kabisa tatizo hilo kama kweli wanataka Tanzania ya viwanda itokee na wajasiliamali waweze kuinuka kiuchumi.