Bilionea Jeff Bezos aunda jopo la Wataalam kuangalia namna ya kuzuia kifo

wewe ni nani wataalamu wangemkatalia asipoteze gharama ndomana mwezenu kaamua atenge gharama watu waingie maabara bana unakuja na majibu yako mfukoni eti haiwezekani ,sikila unaambiwa na mwamposa Basi unaondoka nacho Kama kilivo ,mwanadamu kaumbiwa uwezo wa kufikiria acheni tuone
Yangu macho hujui nini kilichopo kwenye ubongo wa kila kiumbe hai
 
Hapo ndipo unapoona Mungu hadhihakiwi, Binadamu huwa anapenda sana kushindana na muumba wake. Mpaka leo hawajui inakuwaje sperms zikikutana na yai la kike zinatengeneza mtoto, hapo wameshindwa kufanya utafiti wao
Nilisikia story kuwa baada ya kujenga Titanic walijisifu kuwa wanakwenda Marekani wakirudi wanaanza kuunda robot mfano wa binadamu na walikufuru kuwa wanashindana na Mungu. Kilichotokea ni ajali mbaya na vinara wote wa mpango huo walikufa.
 
Titanic part 2 inakuja sasa
 
wewe ni nani wataalamu wangemkatalia asipoteze gharama ndomana mwezenu kaamua atenge gharama watu waingie maabara bana unakuja na majibu yako mfukoni eti haiwezekani ,sikila unaambiwa na mwamposa Basi unaondoka nacho Kama kilivo ,mwanadamu kaumbiwa uwezo wa kufikiria acheni tuone
Ngoja tuone
 
According to christian scriptures...(The Bible)

Mwanzo 2
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Genesis 2
17 But of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it: for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die.
SO KIFO KIMEUMBWA BY WHO?
 
Mbona unamkatisha tamaa mwenzako mapema hivyo

Akifanikiwa wewe ndiye utakuwa namba moja kumuona
Watu wanameza dawa kuzuia nini? Hospital zinajengwa kuzuia nini?

Jibu rahisi ni VIFO.- jamaa yuko mule mule.

Anayesema jamaa anakufuru Mungu, sijui kamaa huwa wanameza dawa au kwenda Hospital.
 
Watu wanameza dawa kuzuia nini? Hospital zinajengwa kuzuia nini?

Jibu rahisi ni VIFO.- jamaa yuko mule mule.

Anayesema jamaa wnakufuru Mungu, dijui kamaa huwa wanameza dawa au kwends Hospital.
hakuna anayependa kufa kila mmoja anatamani aishi milele tena asifikie uzee
 
Nilisikia story kuwa baada ya kujenga Titanic walijisifu kuwa wanakwenda Marekani wakirudi wanaanza kuunda robot mfano wa binadamu na walikufuru kuwa wanashindana na Mungu. Kilichotokea ni ajali mbaya na vinara wote wa mpango huo walikufa.
Sijui kwann watumishi mnapenda sana kuamini stori za ajabuajabu. Mkuu karne hii watu wanafanya tu mambo yao hawaelewi hizo habari zenu za mungu sijui kafanyaje ,hemu fikiria miaka hiyo watu walikuwa wanaamini ukijenga majengo marefu sana ni kumjaribu mungu ila angalia sahv sio tu kujenga majengo marefu yani wazee wanajenga hadi nje kabisa ya dunia huko na watu wanaishi wanafanya tafiti zao (international space station), miaka hiyo watu walikua wanaamini ugonjwa wa ukoma ni laana na inabidi utengwe ila hemu angalia sahv wanasaynsi walichokifanya kwenye huo ugonjwa , watu unakuta wanaaminishwa jua linazunguka dunia mara dunia ipo tambarare yani uongo uongo tu.
So hapa ndio tunapata picha kwamba laiti watu wote wangekuwa wanaamini hivyo mnavyofundishwa bas hapa duniani sahv tusingekuwa hapa tulipofikia kwa mfano wangeamini sijui dunia ipo tambarare basi hata satellites tusingeweza kurusha sahivi
 
shida ni kwamba jamaa wametuoumbaza akili yaan mtu akifikiri nje ya boksi basi watasema laana lakin sivyo utashi na akili tulipatiwa za kazi gani na hili jambo hata kama jamaa hatokamilisha na kufariki kuna mwengine atalibeba kwa sababu wameshaamin kuwa kuna namna watafanikiwa
 
Amazon ex-CEO Jeff Bezos has been looking to space for humanity's future. But the world's richest man is also trying to extend humanity's lifespan here on Earth, according to a report in MIT's Technology Review.

Bezos, who is worth an estimated $200 billion, is one of several investors in Altos Labs, a Silicon Valley startup working on technology to rejuvenate cells and potentially prolong life, the Technology Review reported. The startup also counts Yuri Milner, an Israeli-Russian tech billionaire and founder of the $3 million Breakthrough Prizes, as a backer.

Altos Labs is working on what's called reprogramming technology, a method of reverting adult, specialized cells into stem cells, which have the potential to turn into any kind of cell, according to the Massachusetts Institute of Technology's Technology Review.

Scientists say reprogramming holds great potential to treat vision loss, spinal cord injuries, brain injuries and other age-related bodily degeneration. In a 2018 study, the Salk Institute biochemist Juan Carlos Izpisua Belmonte declared it "the elixir of life" and said that "aging is not an irreversible process." The following year, Izpisua Belmonte was part of a team working in China that created monkey-human hybrids called chimeras, drawing criticism from medical ethicists.

Now, Izpisua Belmonte is set to join Altos Labs, according to the Technology Review. Other preeminent scientists are also joining the startup's staff, including Steve Horvath, a University of California geneticist who developed a way to detect the aging of cells from their molecular markers. Shinya Yamanaka, who received a Nobel prize for his work on reprogramming in 2012 will head Altos Labs' advisory board., Technology Review reported.

Stopping disease and prolonging life seems to be a key interest for Bezos. In his 2020 letter to Amazon shareholders, the 57-year-old Amazon founder quotes extensively from British evolutionary biologist, Richard Dawkins, writing to his investors: "Staving off death is a thing that you have to work at. … if living things didn't work actively to prevent it, they would eventually merge into their surroundings, and cease to exist as autonomous beings. That is what happens when they die."

Concluded Bezos in his shareholder letter: "Never, never, never let the universe smooth you into your surroundings."

Bezos Expeditions, the billionaire's investment firm, did not reply to a request for comment from CBS MoneyWatch.

The multi-billionaire holds stakes in several other startups conducting cellular research, according to Bezos Expeditions, including Nautilus Biotechnology, Sana Biotechnology, Denali Therapeutics and Juno Therapeutics (now part of Bristol Myers Squibb).

Along with fellow tech billionaire Peter Thiel, Bezos has also invested in Unity Biotechnology, a startup developing technology to delay aging at the cellular level.

The project of staving off death is a popular one in Silicon Valley. In 2013, Google launched Calico, a research and development lab to treat aging. One year later, the Palo Alto Longevity Prize offered $1 million for researchers who could turn old organisms young or extend a living creature's lifespan by 50%. Today, researchers from 50 countries can take a crack at some $30 million in prizes available through the National Academy of Medicine's "healthy longevity" challenge.

Nir Barzilai, director of the Institute for Aging Research at Albert Einstein College of Medicine in New York, expects $4.5 billion to be invested in life-extending science this year, he told the New York Post.

View attachment 2095287
Aisee usipomjua Mungu ni shida tupu.Huyu jamaa amekuwa Genetically Engineered by removing the God Gene.What does this mean in real life,this means that everything Bezos does is Satanic,and has the sole aim of delineating humanity from God,so we need to be extremely careful with him.

The God Gene is hard wired in the DNA of the Pineal Gland.Read the following Nature Journal article.

Hata hivyo the makeup of the DNA shows clearly that there is a supernatural,superintelligent being who created humanity.Watch this.

Aisee usipomjua Mungu ni shida tupu.Huyu jamaa amekuwa Genetically Engineered by removing the God Gene,so partly his DNA ina Genes za Shetani.What does this mean in real life,this means that everything Bezos does is Satanic,and has the sole aim of delineating humanity from God,so we need to be extremely careful with him.
hivi huyu jamaa hajawahi kuwatoa msaada wowote hapa bongo??
 
Back
Top Bottom