Bilionea Jeff Bezos aunda jopo la Wataalam kuangalia namna ya kuzuia kifo

Chanzo cha kifo ni dhambi. Chanzo cha kifo ni lile tunda la kati. Yani atakufa na utafiti wake maana hakuna njia kumrudisha binadam kwenye ujana maana dhambi ina mtafuna mpaka umauti... Aka dhambi ya asili...
hivi kwa nini tukiumwa huwa tunaenda hosipitalini
 
Tatizo letu Waafrika huwa ni hilo kupinga kila kitu kama wazungu wangetushirikisha katika ugunduzi wa ndege,bunduki,upandikizaji viungo,DNA,kwenda anga za mbali,n k lazina tungewapinga na kuwakwamisha pia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
lazima tunge pinga mzee chezea Africa wewe bara linalomjua Mungu zaidi kuliko mabara yote duniani
 
Back
Top Bottom