Bilali kanichekesha sana, kweli "WASOMI NI CHAKULA CHA WANASIASA"

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
"RAISI Kaagiza PCCB Kuchunguza na kuwachukulia hatua wanaohusika na ubadhilifu"

Nilicheka sababu kuu mmoja PCCB huwa hawana uwezo wa kushugulikia rushwa kubwa mpaka raisi awaagize. Tena hufanya kilakitu kwa jinsi watakavyotumwa na matokeo yake ni KUPAMBA RUSHWA TU.
Na wasomi wote walioko TAKUKURU kuendeshwa hivyo kweli wasomi ni chakula cha wanasiasa.

PILI UMAKAMU NI CHEO kisichokuwa na madaraka hivyo huyu anapiga kelele tu..

Tatu raisi kasema Mawaziri hawana makosa ila watendaji wa chini wanawafanyia hiyana je anafikiri kuna hatua hapo?

Zamani nilipoona POLISI wanatumika kisisa nikajua elimu ndogo

Taratibu maafisa usalama nikazani labda hao nao waliiba tu mitihani

TAKUKURU walivyotumiwa kwe chaguzi kisisa na kumsafisha chenge nikaguna

MAHAKAMA zilivyoanza na Nguza, KESI ZA MGOMBEA BINAFSI. Zombe,EPA, KESI ZA UCHAGUZI mh kweli

"WASOMI CHAKULA CHA WANASIASA"
 
Teh teh teh, wabongo kwa kuiga hamjambo.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
.
"WASOMI NI CHAKULA CHA WASIOSOMA(WANASIASA)".
 
Inasikitisha wasomi wamekubali kutumiwa na wanasiasa. I remember one hot afternoon pale kisonge, mzee Bilali pledging to upholds tenets of human rights to a maltitude of "perplexed" faces. "Damu ya Mzanzibari ni precious sana" he stressed. Before 'a cock swallowed a grain of maize' as my friend Onyango is found of saying, the powers that be massacred tens of wazanzibari in Pemba sending many scampering for safety in Shimoni Mombasa. Damn! We need a truth and reconciliation commission.
 
Ipo siku ujinga utatuisha na yanayotokea sasa yataandikwa na kubaki kumbukumbu maishani mwetu
 
Back
Top Bottom