Bila Zitto mngeandika kipi.

Tambikeni

Member
Mar 11, 2013
52
6
Acheni kujaza forum kwa ajili ya mtu mmoja. Zitto amefanya mambo mazuri kwa muda mrefu sasa kukosea ni hulka ya binadamu angalieni mnayemkosoa sana nanyi mmefanya nini. Siasa safi Tz hakuna tena. Kuchafuana ndo dili maisha yanazidi kuwa hatari kila kukicha afadhali ya jana.
 
mkuu, ni kweli unachosema,,, ila kwa tabia za kishenzi za bwan mdogo zzk itabid iwe hyvo hakuna kuoneana aibu tena, nina imani cc tukibadilka kitabia ustaarabu utakuwepo, zzk hafai anatakiwa aende sokoni kuuza nyanya na siyo kufanya siasa za kiafithina, uhaini na unafiki wa hali ya juu.
 
Wengi wenu mnaopiga kelele mitandaoni hamkisaidii chama-Mchungaji Msigwa.
 
Hilo ni fundisho kwa wengine uasaliti,uongo na kupenda ubinafsi ni mambo mabaya
 
mkuu, ni kweli unachosema,,, ila kwa tabia za kishenzi za bwan mdogo zzk itabid iwe hyvo hakuna kuoneana aibu tena, nina imani cc tukibadilka kitabia ustaarabu utakuwepo, zzk hafai anatakiwa aende sokoni kuuza nyanya na siyo kufanya siasa za kiafithina, uhaini na unafiki wa hali ya juu.

unamchukia mtu ambae uongezi wala kupunguza chochote kwake nadhani utakuwa unatoka kule kaskazini tu mnachukulia chama kama saccos mnawekana watu wa ukoo mmoja....kwa taarifa yako hata leo zitto akiacha siasa zenu za majungu na ubaguzi anaenda zake mlimani kufundisha hawezi kuganga njaa kama akili zako finyu zinavyokutuma
 
Acheni kujaza forum kwa ajili ya mtu mmoja. Zitto amefanya mambo mazuri kwa muda mrefu sasa kukosea ni hulka ya binadamu angalieni mnayemkosoa sana nanyi mmefanya nini. Siasa safi Tz hakuna tena. Kuchafuana ndo dili maisha yanazidi kuwa hatari kila kukicha afadhali ya jana.
sema 'bila chadema na sioo bila zitto.
Ma-zitto wengi watakuja lakini cdm itaendelea kuwepo. Zitto hakufanya aliyoyafanya kwa ajili yake bali kwa maslahi ya chama kabla haja-messed up.
 
mkuu, ni kweli unachosema,,, ila kwa tabia za kishenzi za bwan mdogo zzk itabid iwe hyvo hakuna kuoneana aibu tena, nina imani cc tukibadilka kitabia ustaarabu utakuwepo, zzk hafai anatakiwa aende sokoni kuuza nyanya na siyo kufanya siasa za kiafithina, uhaini na unafiki wa hali ya juu.

yaani unavyoandika kama vile una hakika kabisa, kumbe umesikia na kuamini tu

hatareee
 
Back
Top Bottom