Tambikeni
Member
- Mar 11, 2013
- 52
- 6
Acheni kujaza forum kwa ajili ya mtu mmoja. Zitto amefanya mambo mazuri kwa muda mrefu sasa kukosea ni hulka ya binadamu angalieni mnayemkosoa sana nanyi mmefanya nini. Siasa safi Tz hakuna tena. Kuchafuana ndo dili maisha yanazidi kuwa hatari kila kukicha afadhali ya jana.