Bila ya haya hata kidogo, JK amfyagilia Mudhir Mudhir

Mudhiri Mudhir ambaye alijichafua mwenyewe kwenye sakata la Mkataba wa Buzwagi pale alipolishinikiza Bunge kumsimamisha Zito Kabwe kwa kufichua ufisadi uliokuwa unaendelea serikalini JK bado anamwona ni lulu hapa nchini.

Katika hali ya kuonyesha kiburi kisicho na mwisho, Jk amegangamala kuwapigia debe wagombea wa CCM kama akina Rostam Aziz, Edward Lowassa, Basil Pesambili Mramba na wengineo wengi ambao katika utawala wa Jk walikumbwa na Kashfa nyingi nzito.

La kushangaza ni pale JK anapoona ili kuua makundi ya chama chake cha mafisadi ni kuwapiga changa kama akina Mudhir ambao siyo wasafi hata kidogo.

Lakini safari hii, wapigakura tumesema hatudanganyiki...........

Soma Uhuru ya leo kwa habari za nyongeza kwenye habari hii ingawaje zimeficha ukweli huu nilioutoboa hapa...............

Mkuu kama ni kuukuosa huu uhondo bora iwe hivyo, nimeweka nadhiri ya kutosoma Uhuru hadi pale mmiliki wake atakapojisafisha
 
Mudhiri Mudhir ambaye alijichafua mwenyewe kwenye sakata la Mkataba wa Buzwagi pale alipolishinikiza Bunge kumsimamisha Zito Kabwe kwa kufichua ufisadi uliokuwa unaendelea serikalini JK bado anamwona ni lulu hapa nchini.

Katika hali ya kuonyesha kiburi kisicho na mwisho, Jk amegangamala kuwapigia debe wagombea wa CCM kama akina Rostam Aziz, Edward Lowassa, Basil Pesambili Mramba na wengineo wengi ambao katika utawala wa Jk walikumbwa na Kashfa nyingi nzito.

La kushangaza ni pale JK anapoona ili kuua makundi ya chama chake cha mafisadi ni kuwapiga changa kama akina Mudhir ambao siyo wasafi hata kidogo.

Lakini safari hii, wapigakura tumesema hatudanganyiki...........

Soma Uhuru ya leo kwa habari za nyongeza kwenye habari hii ingawaje zimeficha ukweli huu nilioutoboa hapa...............

Ruta we ni kiboko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom