Elections 2010 Bila Watu Kujitoa Mhanga Nchi Hii Haitakombolewa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Huu si uchochezi. Atakayeona hivyo, basi na aone hivyo.

Ni ukweli.

Wananchi wanaamua hivi, kikundi kidogo kabisa cha mabepari/mafirauni wanaamua vinginevyo wanavyotaka kwa maslahi binafsi.

Hakuna demokrasia Tanzania.

Sasa tuamue...kama tunajitoa muhanga au tuache tukilia kwenye miba wakati wenzetu wachache wakitutawala kwa mabavu na kuishi maisha ya peponi.
 
Waseme wengine lakini sio mimi!!!!!

NI KWELI NCHI HII BILA KUJITOA MHANGA MAMBO HAYAENDI, moto huu wa mapinduzi utapoa baada ya uchaguzi na PALE VYAMA VYA UPINZANI VITAKAPOKUBALI MATOKEO!!!!!!!!!!!!!!! eti wastaarabu

SLAA WE DECLARE YOU THE REAL WINNER!!!!! , watu tuingie barabarani na angalau FFU na polisi wapate kazi ya kuwatawanya wakombozi na wanamapinduzi wa kweli!!!

CCM ni wakoloni na SAA YA UKOMBOZI NI SASA!!!!
 
Hili nimelisema toka zamani kamwe ccm haiondoki kwa sanduku la kura, ni lazima watu tuingie barabarani na dunia nzima ijue kuwa hawa jamaa wametuchosha. Tuondoe woga, tujitoe kafara kwa ajili ya taifa letu.
 
Ndugu zangu ngoja tusubiri matokeo yote then tutaamua nini cha kufanya. ni vizuri kuchukua maamuzi scientifically. jambo moja muhimu ni kwamba wananchi wapo tayari kuunga mkono kwani wengi wao wameshangazwa na matokeo ya kura za urais. Dr. Slaa na uongozi wote wa chadema tulizeni vichwa kabla ya kutoa tamko na mwelekeo wa mapambano mengine mpaka kieleweke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom