GAGL
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 387
- 391
Wewe kama ni mwanachama wa ccm na unashabikia upinzani kufutika basi jaribu kuwafikiria ndugu zako wanaofanya kazi NEC, wanaofanya kazi ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa. Lakini wafikirie wale wanaoishi kwa kutegemea ruzuku ya chama maana baada ya upinzani kufa nafasi za utendaji zote za ccm zitakufa pia. Hata Polepole atapoteza nafasi yake. Ni vema mkashiriki kuimarisha upinzani ili baadhi ya vibarua viendelee kuwepo.