Bila upinzani CCM wangetoa elimu bure?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Sio hilo swali tu bali jiulize na swali hili we kijana wa Lumumba:

Bila upinzani ungepeta ajira ya mtandaoni kuitetea CCM?

Mwalimu Nyerere aliehakikisha mfumo wa vyama vingi unaanzishwa hapa nchini, aliondoka na akili zake zote.
 
Wameianzisha na worse enough imewashinda vibaya.
 
Back
Top Bottom