Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

Watu wengi wanashindwa kuelewa..mleta mada anazungumzia udikteta wenye akili na sio udikteta uchwala
 
kuna kaukweli kidogo udikteta especially wa kufanya maamuzi ya miradi mikubwa na kukomesha wezi unahitajika, lakini udikteta wa kupiga na kuua watu kwa ajiri wamemtukana raisi au kufanya mikutano ya siasa peleka kwa bibi na babu yako
 
Kufanya maamuzi ya miradi mikubwa hata white elephant pojects na kukomesha wezi kunaweza kufanywa bila udikteta.
kuna kaukweli kidogo udikteta especially wa kufanya maamuzi ya miradi mikubwa na kukomesha wezi unahitajika, lakini udikteta wa kupiga na kuua watu kwa ajiri wamemtukana raisi au kufanya mikutano ya siasa peleka kwa bibi na babu yako
 
Uchafu uchafu , uzembe wa kazi na rushwa rushwa na yale mamtu ya CCM yanayofikiri yana haki ya kutawala nchi kwa wizi wa kura ndio sumu ya maendeleo yetu, Dar na Tanzania kwa ujumla haina mpinzani Africa tukiamua kuwa serious
 
Kuna mtu humu nilimuambia si muda mrefu sana ya kwamba
" Hata Mungu mwenyewe hatambui Demokrasia "

Democracy wont make it happen, it's so hard in early steps like us

Ukisoma maon ya Wapingaji wengi ni hoja za kwenye vitabu vya Civics, Chuki, Kushikilia imperfections za mtu na Utoto. Yaani 😅
Where do you get this ideology? Democracy makes people to decide about their contribution to the government (Tax), which offocourse make development to be people centred!

This first development to any human being is freedom of expression! whether you agree it or not, (No need of references)

I second this discussion if and only if the kind of dictatorship we are arguing to is what favours people's interest.
 
..Tz tulishajaribu dikteta mwenye akili na tukafeli vibaya sana.

..tatizo la madikteta wasio na akili, pamoja na wenye akili, ni hatima ya nchi pale ambapo transfer of power haiepukiki.

..pia wengi wanaohubiri Udikteta hawako tayari wao ndio wawe sehemu au katika kundi linalopokea vipigo na mateso toka kwa madikteta hao.

..kuna dikteta mwenye akili akiitwa Meles Zenawi alitawala nchini Ethiopia. Huyu bwana alijenga miundombinu kwa kasi ya kutisha huko Ethiopia. Lakini nyuma ya pazia alikuwa na jela zenye mateso mpaka ya kulawiti wapinzani wake. Sasa mnaotamani Madikteta wenye akili mkumbuke kuwa wako wengine wana jela za mateso na kulawiti. Je, mpo tayari kuingia ktk jela za namna hiyo ili nchi ipate miundombinu?
 
udikteta wa kuua biashara
na udikteta wa kujenga kijijini kwenu na kuleta mifumuko ya bei haifai
 
Jaribu wewe kuziba masikio kwa siku moja kama utaweza kabla ya kuwalaumu Walibya walioziba masikio yao kwa miaka 40 ya utawala muovu wa Gaddafi.

Yeye Angekuwa mzalendo angejua Libya ni zaidi yake na familia yake atengeneze mifumo imara na viongozi wa kumrithi na sio kung'ang'ania madarakani miaka 40 kama mfalme baada ya kumpindua mfalme Idriss
Ndugu ulijuaje kama hajamuandaa kiongozi ajaye? Hivi unajua asili ya uongozi ilitoka wapi mpaka sasa tupo katika utaratibu huu wa kuwa na kiongozi mkuu wa nchi kama raisi au waziri mkuu? Sitaki niende mbali we kasome historia a maswala constitutional and admistrative law.. Ila kaa ukijua huku duniani ulaya wanaroho za kishetani dhidi Africa.. Haingii akilini eneo language na vitu vyangu afu unatumia nguvu kunipangia namna ya kuvitumia tena kuvitumia kwa namna mbaya kabisa, si uchawi huo
Jaribu wewe kuziba masikio kwa siku moja kama utaweza kabla ya kuwalaumu Walibya walioziba masikio yao kwa miaka 40 ya utawala muovu wa Gaddafi.

Yeye Angekuwa mzalendo angejua Libya ni zaidi yake na familia yake atengeneze mifumo imara na viongozi wa kumrithi na sio kung'ang'ania madarakani miaka 40 kama mfalme baada ya kumpindua mfalme Idriss
Ndugu soma historia..... Angalia marekani kabla ya kuwa na uchumi mkubwa utawala wao ulikuwa wa aina , wingereza pia, ujeruman yule maza achii mpaka sasa, Russia n.k.. Ukija kwa Libya ni kweli jamaa alipindua sasa Mantiki yako nini? Jamaa aliona mahuman right sijui maruling system ya mademocracy sijui malposition part ni ujinga akasimama imara nchi ikapanda.... Na hata utaratibu MTU wakumrithi alimuandaa.. Wahuni wakina USA na wengine huko ulaya natamaa zao na maujinga ya baadhi ya miafrika wakamuua.. Ndo malipo yake sasa Mungu anawaangalia tu
 
HUO NI UKWELI MTAKATIFU KWAMBA ILI AFRICA IENDELEE TUNAHITAJI FOCUSED DICTATORS! AT LEAST MPAKA TUFIKIE UCHUMI WA JUU NA WATU WAWE WAMEELIMIKA NDIPO TUANZE KUJADILI NAMNA YA KUANZISHA DEMOKRASIA INAYOAKISI MAZINGIRA NA MILA ZETU.
Ndio demokrasia inahitaji wananchi ambao ni smart sio km nchi zetu hizi
 
udikteta wa kuua biashara
na udikteta wa kujenga kijijini kwenu na kuleta mifumuko ya bei haifai
Watu wajifunze kulipa kodi hakuna biashara iliyouliwa kama mfanyabiashara huyo alikua anafanya biashara zake kwa haki na utaratibu.
 
Habar wadau,

Now niko Rwanda waungwana huyu Kagame Baada ya Miaka 20 kama Atakuepo hakuna nchi itakayomfikia. Tanzania na ukubwa wetu mpaka Sasa si kitu kwa Rwanda, Kigali ipo kama Ulaya vile kuanzia Huduma za umeme maji internet na mambo mengine kibao.

Nina imani Rwanda mpaka kufika hapa ni sababu ya Kagame na mfumo wa uendeshaji nchi.
Pia ningeshauri mataifa mengine yote tumuige na tuachane na Demokrasia sababu hata Ulaya na Asia hamna nchi iliyoendelea kwa kukumbatia Demokrasia ndio maana hata Adolf Hitler alipopewa Madaraka tu akawaambia kuwa ili Ujerumani iendelee lazima tusafishe wote wanaotupinga ili Tuijenge nchi.

Sio ujerumani pekee bali nchi zote kubwa Dunia mtakuja kuamini haya baada ya miaka 20 ya Rwanda
Mawazo ya kipuuzi kama haya huwa mnazaliwa nayo au mnadapt?
 
Haya ndo mawazo ya kijinga kabisa. So sad to see Kuna watu wanayaamini halaf ukute na wewe Ni msomi na unajua maana ya maendeleo hata kwa kwa kusoma japo kozi za ds. Mawazo haya nayapinga kwa jina la Yesu. Nayalaani kwa laana zote za Ngw'anamalundi.
 
Kuna mtu humu nilimuambia si muda mrefu sana ya kwamba
" Hata Mungu mwenyewe hatambui Demokrasia "

Democracy wont make it happen, it's so hard in early steps like us

Ukisoma maon ya Wapingaji wengi ni hoja za kwenye vitabu vya Civics, Chuki, Kushikilia imperfections za mtu na Utoto. Yaani
Which Mungu are you talking about? Mungu ambaye pamoja na uwezo wake wote amempa mwanadamu utashi wa kuamua Mambo yake ikiwemo hatma yake? Mungu ambaye anahold talk na shetani na kukubaliana hoja kadhaa? Mungu ambaye anakubali to be challenged ( Lete hoja zako tusemezane) Kama itakuwa mkiristo itakuwa wewe Ni mkiristo koko
 
Tanzania hamna material ambayo hamna ambazo zinatumika katika industrialization! We have almost 80% ya madini ambayo yanatumika kuunda vifaa ambavyo wenzetu wana mashine na viwanda vya kuviunda na kuja kutuuzia tena sisi! Hatuna visionary leaders, Magufuli tried a lot kwa kweli! Ila ameishia kuonekana hayawani sababu eti watu waliminyiw mirija ya wizi pesa ikawa hakuna!
Alikuwa mjinga wa kutupwa
 
Back
Top Bottom