Bila Tundu Lissu nchi ingekuwa giza, tungekuwa tumefungwa midomo kwa gundi ya chuma

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,182
2,015
Jamaa ana mchango mkubwa sana ktk siasa za kitaifa na ktk jukwaa la sheria nchini.

Nina imani bila yeye nchi ingekuwa na giza, wengi wasingejua haki zao, maonevu yangezidi zaidi ya hapa.

Ajabu this man hajawahi sema tumuombee. hakika anahitaji maombi ya kumtia nguvu apate ujasiri zaidi.

Uwe na uhai mrefu ndugu yangu Tundu antipas lissu.
 
Atakuwa anaombewa kwa sababu mtu huombewa kwa matendo yake. Mfano ukimsaidia kizee au mtumwenye shida utasikia akisema; "ubarikiwe na Mungu akuongezee hapo ulipotoa mara mia" Sasa pita ukanyage kidole hata kwa bahati mbaya usikie mdubdo wake ....
Umkanyage halafu akuombee weeeee!
mtu akinikanyaga mi simuombei katu! na mimi kama nataka kuombewa basi najitahidi tu kuwasidia watu!
 
0c0c413f72c2f600b79927e6d2b0e5cc.jpg
Kweli kabisa
 
Lisu yupi yule anayetembea na mafisad ya richmond au mwingine
Amakweli Tanzania kuna mambo! hata albino akitokea kule utindigani akiwaambia ni mzungu wataamini tu! huyo jamaa kaleta ukombozi gani japo katika chama chake tu maana Taifa siyo size yake!
 
Back
Top Bottom