Bila subra imani na mahaba huwezi ishi kwenye ndoa

mkulungwa03

JF-Expert Member
Apr 1, 2021
317
243
Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba, huezi ishi kwa ndoa

1. Kama huna subra kwa ndoa yako basi huezi kuishi kwa ndoa na amani ndoa yajengwa na subra kusubiriyana kila moja wenu amsubiriee mwenzake kwa tabia kwa hali na mali ndio mutaeza faidika mukiwa na subraa kwa ndoa yenu ,, jitahidi uwee na subra sana .

2. Imani kuaa naimani kwa ndoa yako muhimu sana yazidishs mahaba na yazidisha upendo. Ukiwa na imani na mwenza wako kwa hali yake mutazidi kupendana mutazidi kuipaa ndoa yenu nguvuu .

3. Mahaba . Yajenga kuwa na uvumilivu kwa ndoa rahaa ya ndoa uwe na mahaba na mwenzako wamuonesha mahaba wamjali na wamsikiza na humkosei na wamuhishimu mwenzanko bila mahaba hutojua utamu wa ndoa.

Kuongezea pia kulinda na kuficha aibu madogo na hata kubwa ya mwenza wako .Kila binaadamu sikamili ana kasoro zakee nimuhimu kumvumilia aibu ya mwenzako na kutotoa injee hataa kwa familiaa yakoo usitoee kabisa.Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba,,, huezi ishi kwa ndoa
 
Kwanza kabisa bila kujichomoa ufahamu huezi kuvumilia purukushan za kwenye ndoa maana kuna maudhi,visa,vitimbwi na mikiki non-stop kudadeki yan kuna muda inabid ujifanye huoni bila hvo huez kuvumilia hata sekunde..
 
BADO SIJAUONA UMUHIMU WA KUWA KWENYE NDOA.AU MLIOKO KWENYE NDOA MNASEMAJE?
 
Yanini kunua na kufuga ling'ombe ilihali napata maziwa 'bwelele' mtaa wa pili hapo
 
Mkuu watu mmekuwa wazungumzaji sana siku hizi,,,, ila kwa ground mambo ni tofauti sana...

Lait kama ndoa zingekuwa zina expire kama Leseni za gari,,, Wanaume wengi wasinge RENEW..

Btw Mapenzi ni matamu,..
 
Mkuu watu mmekuwa wazungumzaji sana siku hizi,,,, ila kwa ground mambo ni tofauti sana...

Lait kama ndoa zingekuwa zina expire kama Leseni za gari,,, Wanaume wengi wasinge RENEW..

Btw Mapenzi ni matamu,..
Nilichokiandika ukikifanyia Kazi hakika utakuja kunishukuru
 
Una Mtazamo hasi na usipokubali kuubadili itakufanya uishi na kujiona sex machine
Ndo uhalisia.
Ndoa inakufanya unakuwa Lockd unaacha kuhangaika na maisha yako unaanza kuhangaika na ya wengine.
Ulipata 10 ukala bia 2 ukapelekwa home 5 unaonekana sio
 
Ndoa ni kifungo,afu ukikosa umakini unaweza usipate hata maendeleo ya maana
 
Back
Top Bottom