Bila Sitta na Wanaharakati Wenzake, hivi kutakuwa na CCM kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila Sitta na Wanaharakati Wenzake, hivi kutakuwa na CCM kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kapela Msonda, Jul 18, 2011.

 1. K

  Kapela Msonda Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siuoni uhai wa CCM au msingi wa CCM kuendelea kuungwa mkono bila chachandu za hapa na pale za Sitta na wanaharakati wenzake ndani ya CCM zinazotoa matumaini kwa wanyonge. CCM ijaribu kuwaweka pembeni akina Sitta, Nape, Ole-Sendeka, Mwakyembe, Anne-Kilango, Nyalandu, Lembeli, Lugola n.k. halafu ibaki na akina Bashe, Serukamba, Januari, Lowassa, Chenge, Anna Makinda, Somaiya, Anna Abdalla, Sofia Simba, Shubash, Chikawe, Ngeleja, Kingunge, Jeetu Patel, Nchimbi, Guninita n.k. itakufa kifo cha mende!

   
 2. F

  Fataki Senior Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hoja hii inatekenya ubongo. Hivi CCM wenyewe wanalijua hilo? Sidhani, naona wako bize kuwatungia ngonjera ya kijinga ya CCJ. Ama kweli, sikio la kufa, halisikii dawa!
   
 3. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2016
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,297
  Likes Received: 7,852
  Trophy Points: 280
  imekuwa kinyume sasa.
   
Loading...