bila simu yangu...

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
siwezi kujua:
1. saa hizi ni saa ngapi..
2. leo ni tarehe ngapi..
3. namba hata moja ya simu
4. njia iko wapi umeme unapokatika ghafla
5. majibu ya haraka haraka kwenye quiz na assignments,

kiufupi simu yangu ni kama mkono wangu wa ziada...

ongezea hapo vitu gani bila simu yako ingekuwa ni miujiza kufanyika
 
kuamka na kukumbuka appointments..... maana ina-save pia kama alarm
 
Kujua weather..
kucheki porn
kuhonga madem via tigo or mpesa
 
siwezi fanya appointment na wangu,
siwezi wasiliana na watoto wangu,
siwezi msalimia mama yangu,
siwezi wasiliana na vijana wangu wa shamba,
siwezi weka oda ya vifaranga,
siwezi hata kutumiwa hesabu za bodaboda, daaah
 
siwezi kujua:
1. saa hizi ni saa ngapi..
2. leo ni tarehe ngapi..
3. namba hata moja ya simu
4. njia iko wapi umeme unapokatika ghafla
5. majibu ya haraka haraka kwenye quiz na assignments,

kiufupi simu yangu ni kama mkono wangu wa ziada...

ongezea hapo vitu gani bila simu yako ingekuwa ni miujiza kufanyika

1 . siwez Kuingia Facebook! fb Ya Kwenye Pc Naona Ipo Compicated Mno!

2. ntachelewa Vpnd... maana Ni Alarm Yangu

3. ntasahau Ivents Muhimu.. Maana its My Reminder

4. Whatsaap na Viber Ntakosekana

5. ntafulia maana Pesa Natumiwa Ku2mia Huduma Za Kifedha Za Carier tofaut tofaut
 
siwezi kumbuka b.day za warembo
siwezi onyesha ujanja (google/ wiki)
sitaweza kucheza angry birds
sina mziki
 
siwezi kujua:
1. saa hizi ni saa ngapi..
2. leo ni tarehe ngapi..
3. namba hata moja ya simu
4. njia iko wapi umeme unapokatika ghafla
5. majibu ya haraka haraka kwenye quiz na assignments,

kiufupi simu yangu ni kama mkono wangu wa ziada...

ongezea hapo vitu gani bila simu yako ingekuwa ni miujiza kufanyika

Dah, mie na simu sijui nisemeje make simu ni kila kitu kwangu. Hata sikumbuki ni lini simu yangu ilionesha "battery low" sitaki kabisa kuwa nje ya mtandao hata kwa dakika moja. Kama hakuna mtandao huwa nasikia kufa, zikibaki bar 2 tu nacharge tena.

I love my simu......... hata kuliko ninavyomlavu my hezbend lolest :heh:
 
Back
Top Bottom