Bila shaka wanawake akili yenu inafanya anticlockwise!

mimi nafikiri jafarai kafanya uamuzi wa kiume
kagundua alikosea kumtukana ingawa aliumia
na sasa kagundua kuwa despite her faults,she is the one for him
na amerudi bila kujali jamii itasemaje...

kaamua kuwa sasa narudiana nae,the rest can go to hell
 
Kipi cha ajabu hapo? Wangapi wanafarakana kwenye mapenzi halafu wanarudiana? Kama hao wawili wameamua kurudiana basi hamna jipya hapo - wao si wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho kufanya hivyo.

Mtu unayeshangaa wao kufanya hivyo (kama wameamua kurudiana) wewe ndo inabidi tukushangae! Unachoshangaa ni nini? Hujawahi kuona wapenzi wakiachana na kurudiana? Get a life.
 
Yawezekana kagundua kosa lake au pengine karudi kimaslahi zaidi, yote sawa tu. Wanajua wenyewe raha na karaha zao wala hakuna jipya hapo.......kawaida tu.
 
Huwa sipendi mambo ya watu hasa wanaoitwa "mastaa" unless linaelimisha na kufundisha,hawa watu walifanyana nini?
 
Hata mimi nina mpango wa kurudiana na mpenzi wangu ambae tulishawekana sero miezi sita
 
Si ungemshangaa mwanaume mwenzio kujirudisha kwa jinsi alivyoanikwa. Ndio maana unaambiwa ugomvi wa mapenzi usiuingilie.
 
yale yallikuwa maumivu na hasira za mapinzi,kwani baadhi yetu huwa tunafanya mangapi zaidi ya yale...na hawajarudiana jana wala juzi kitambo hasaaa!!!
 
Muda wa kulipa kodi umefika na hana kitu, kwa nini asirudi kwa mfadhili wake jamani? Na wenye nyumba hapa mjini mnavyowafahamu kwa ukali acheni tu.
 
Back
Top Bottom