Bila shaka ni wakati muafaka wa Hussein Bashe kufukuzwa CCM

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,390
Kwa huu utovu wa nidhamu anaounesha kwenye kila mtandao wa kijamii ni wakati muafaka wa yeye kuvuliwa uanachama kwa maslahi mapana ya CCM na taifa kwa ujumla.
Huwezi kumjibu Kiongozi kama unamjibu msela mwenzako Msigwa.
Nadhani inabidi huende Chadema sasa uone ni jinsi ilivyo vigumu kumchangia m/kiti kila mwezi wakati na yeye ana mshahara wake
 
Kweli kabisa, anaongeaje ukweli alafu bado anabakia chama hichi?!!! Huku ni ku Praise na ku Worship, basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu utovu wa nidhamu anaounesha kwenye kila mtandao wa kijamii ni wakati muafaka wa yeye kuvuliwa uanachama kwa maslahi mapana ya CCM na taifa kwa ujumla.
Huwezi kumjibu Kiongozi kama unamjibu msela mwenzako Msigwa.
Nadhani inabidi huende Chadema sasa uone ni jinsi ilivyo vigumu kumchangia m/kiti kila mwezi wakati na yeye ana mshahara wake
Wakisema ukweli ni utov wa nidham. Wakisema uongo ni wazalendo..
Tatizo sitaki nataka nyingi zinawasumbua. Anyway mwenyekiti atajua la kufanya japo kuwa si kama unavyowaza ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu utovu wa nidhamu anaounesha kwenye kila mtandao wa kijamii ni wakati muafaka wa yeye kuvuliwa uanachama kwa maslahi mapana ya CCM na taifa kwa ujumla.
Huwezi kumjibu Kiongozi kama unamjibu msela mwenzako Msigwa.
Nadhani inabidi huende Chadema sasa uone ni jinsi ilivyo vigumu kumchangia m/kiti kila mwezi wakati na yeye ana mshahara wake

True kwa ccm hii kusema ukweli au kutoa ya maoni ni utovu wa nidhamu
 
CCM ni shiiida hawataki Ukweli hawataki mwana CCM asiye mnafiki, wanapenda unafiki na kujipendekeza watapata Taabu sana pindi wakirejesha mfumo wa chama kimoja kwani Unafiki utakuwa mwingi matokeo yake ni Nchi kutawaliwa kinafiki itakosa maendeleo kabsa
 
True kwa ccm hii kusema ukweli au kutoa ya maoni ni utovu wa nidhamu
Watesi huko CCM wakiongozwa na cyprian Musiba wamekuwa wajinga hakuna mfano hawataki kusikia Ukweli wanatamani kuwapiga Risasi wasema kweli wote kama Tundu Lisu.
 
Binafsi nimekuwa nikimwona kama mtu anayetumia uhuru wake wa kutoa maoni ila kuna mahali anakosea na katika hili amevuka mipaka; sio busara kabisa kutoa kauli kama Ile.
 
Kwani amefanyaje Mkuu? Habari yako haijakamilika..
 
Kwa huu utovu wa nidhamu anaounesha kwenye kila mtandao wa kijamii ni wakati muafaka wa yeye kuvuliwa uanachama kwa maslahi mapana ya CCM na taifa kwa ujumla.
Huwezi kumjibu Kiongozi kama unamjibu msela mwenzako Msigwa.
Nadhani inabidi huende Chadema sasa uone ni jinsi ilivyo vigumu kumchangia m/kiti kila mwezi wakati na yeye ana mshahara wake
Binafsi nimekuwa nikimwona kama mtu anayetumia uhuru wake wa kutoa maoni ila kuna mahali anakosea na katika hili amevuka mipaka; sio busara kabisa kutoa kauli kama Ile.

WENYECHAMA WAMEANZA KURUDI NINYI WAZEE WA KUDANDIA RIFT SOON MTAKAA PEMBENI. MUDA SIO MREFU SOFIA SIMBA, NCHIMBI JERRY SLAA WANAPATA SHAVU MARK MY WORD, NAPE MAKAMBA NA WENGINEO KUANZIA JANA HAWAJA LALA...MOTO UMEWASHWA SASA
 
Kwa huu utovu wa nidhamu anaounesha kwenye kila mtandao wa kijamii ni wakati muafaka wa yeye kuvuliwa uanachama kwa maslahi mapana ya CCM na taifa kwa ujumla.
Huwezi kumjibu Kiongozi kama unamjibu msela mwenzako Msigwa.
Nadhani inabidi huende Chadema sasa uone ni jinsi ilivyo vigumu kumchangia m/kiti kila mwezi wakati na yeye ana mshahara wake
Team membe kaa kimya
 
Kusema ukweli kwa ccm ni utovu wa nidhamu aisee
 
Back
Top Bottom