Bila shaka kesho Yanga anaondoka na ushindi

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,653
4,997
Mimi ni shabiki wa Simba kindaki ndaki lakini kwangu mimi natoa ushindi kwa Yanga Africans kwa asilimia 100%.

Yanga wana fitness, na vijana wana hari.

SIMBA inakata moto mapema sana ; Yanga anaweza kucheza 90min mchakamcha kwa Spirit ile ile bila kuchoka

Simba , baada ya dk 25 tu wanakuwa wameshakata moto, that moment Yanga ndio inafanya pressing .

Pia Simba haina uwezo wa comeback kama ya Yanga. SSC haina beki kisiki kama ya Yanga.
sidhan kama SSC ana striker wa kutoboa safu ya Yanga. Hakuna
Hata Gamondi, hajaichukulia hii mechi serious kivile,

Beki ya SSC ipo loose, ndani ya 30 min SSC atakuwa ameshafungwa.

In good spirit na tukiweka uchawi kando, ushindi kesho ni kwa Yanga 100%, mengine ni ubishi tu
 
Salaam wakuu,

Pamoja na kuwa mchambuzi wenu mahiri hapa mjini JF ( najua wale wa kubeti, mnaelewa How nimewasidia sana kwenye ubashiri na kuweza kumfirisi muhindi.

Back to the topic
Leo mida ya saa nane usiku nimeoteswa Yanga wakishangilia mara 4 huku Simba wakiwa kuzomea na kurusha viti yani mfano zile za GOOOOOOOOOLLL Kwa vipindi vinne
So this means Simba watakandwa magoli 4.

NB: Utabiri huu lazima uwe wa kweli since ubase scientifically, & spiritually.

Picha hapo chini Ina relation Kali na kitu kitakachotokea Leo
1713565655885.jpg
 
Salaam wakuu,

Pamoja na kuwa mchambuzi wenu mahiri hapa mjini JF ( najua wale wa kubeti, mnaelewa How nimewasidia sana kwenye ubashiri na kuweza kumfirisi muhindi.

Back to the topic
Leo mida ya saa nane usiku nimeoteswa Yanga wakishangilia mara 4 huku Simba wakiwa kuzomea na kurusha viti yani mfano zile za GOOOOOOOOOLLL Kwa vipindi vinne
So this means Simba watakandwa magoli 4.

NB: Utabiri huu lazima uwe wa kweli since ubase scientifically, & spiritually.

Picha hapo chini Ina relation Kali na kitu kitakachotokea LeoView attachment 2968915
Aahaaaa
 
Simba isiruhusu goli ndani ya dakika 30 za kwanza, endapo ikatokea walau wafungwe dakika za mwishoni kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili washikilie bomba haswa.
 
Simba isiruhusu goli ndani ya dakika 30 za kwanza, endapo ikatokea walau wafungwe dakika za mwishoni kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili washikilie bomba haswa.
Sahihi mkuu.... mzize hawaachi leo
 
Back
Top Bottom