Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili.

Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya.

Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo," Hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan"

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae.

Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea msamaha kwa Mama Samia Suluhu Hassan ili uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli.

Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe unayetajwa kwa ugaidi,

Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).

Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote.

Kwa jambo hili tu,Wewe Freeman Mbowe na Wapinzani wenzako lazima muelewe kuwa Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever,

Lazima tuelewe Tanzania Tumepata Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo kwelikweli,

Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana Rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.

Naomba kukutaarifu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na heshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama wakati wote tofauti na hapo usijelaumu mtu.

Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukitenda au kurudia kosa utashughulikiwa kama raia wengine tunavyoshughulikiwa kwani kwenye Taifa hili hakuna yeyote aliye juu ya sheria.

Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwani Sisi tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote hiyo "Amani" yetu

Wito wangu kwako na Chama Chako,mumuheshimu zaidi na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako.

Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini nakwambia ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu.

Mwisho, Mtanzania mwenzangu popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa,

Huyu Rais ni Chaguo la Mungu lazima tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hakika hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi kwenye hili,

Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

View attachment 2138435

View attachment 2138436
Eti Walikosa ushahidi
 
Wewe umeharibiwa na yule shetani anayegeuka udongo huko chattle. Samia katumia huruma gani kwa mtu ambaye hakuwa na kosa? Uliona mwenyewe maaskari wenye heshima zao wakipata matumbo ya kuhara kwenye ushahidi wa kuchonga!! Kua kijana kua hicho kichwa kilichodumazwa na jiwe!!
 
Mama mtu mwema sana, Ofisi ya mwendesha mashtaka ilishaionyesha mahakama kwamba Mbowe ana kesi ya kujibu
 
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili.

Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya.

Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo," Hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan"

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae.

Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea msamaha kwa Mama Samia Suluhu Hassan ili uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli.

Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe unayetajwa kwa ugaidi,

Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).

Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote.

Kwa jambo hili tu,Wewe Freeman Mbowe na Wapinzani wenzako lazima muelewe kuwa Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever,

Lazima tuelewe Tanzania Tumepata Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo kwelikweli,

Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana Rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.

Naomba kukutaarifu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na heshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama wakati wote tofauti na hapo usijelaumu mtu.

Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukitenda au kurudia kosa utashughulikiwa kama raia wengine tunavyoshughulikiwa kwani kwenye Taifa hili hakuna yeyote aliye juu ya sheria.

Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwani Sisi tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote hiyo "Amani" yetu

Wito wangu kwako na Chama Chako,mumuheshimu zaidi na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako.

Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini nakwambia ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu.

Mwisho, Mtanzania mwenzangu popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa,

Huyu Rais ni Chaguo la Mungu lazima tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hakika hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi kwenye hili,

Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

View attachment 2138435

View attachment 2138436
Chagueni maneno ya kuandika, mbona mwendazake Kesi hii aliogopa Kama ukoma , naye wa Sasa akasema ngoja ajaribu , mbona maji kaita mma ,
Leo mwashangilia kuonana na Makam wa Rais USA ,mnajua kilicho nyuma ya picha ,au mwaongea tu ,
 
Mwanzisha uzi umesahau kuweka jina na namba ya simu ili ukumbukwe vizuri. Ila usisahau kuna jamaa alikuwa ameapa kuutokomeza upinzani lakini cha ajabu akakataa kufanya uchaguzi huru ili apime vizuri kukubalika kwake. Na hakumaliza muhula wake. Hata huyo unayemtukuza hana ukuu huo unaompa.
 
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili.

Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya.

Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo," Hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan"

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae.

Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea msamaha kwa Mama Samia Suluhu Hassan ili uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli.

Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe unayetajwa kwa ugaidi,

Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).

Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote.

Kwa jambo hili tu,Wewe Freeman Mbowe na Wapinzani wenzako lazima muelewe kuwa Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever,

Lazima tuelewe Tanzania Tumepata Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo kwelikweli,

Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana Rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.

Naomba kukutaarifu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na heshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama wakati wote tofauti na hapo usijelaumu mtu.

Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukitenda au kurudia kosa utashughulikiwa kama raia wengine tunavyoshughulikiwa kwani kwenye Taifa hili hakuna yeyote aliye juu ya sheria.

Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwani Sisi tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote hiyo "Amani" yetu

Wito wangu kwako na Chama Chako,mumuheshimu zaidi na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako.

Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini nakwambia ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu.

Mwisho, Mtanzania mwenzangu popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa,

Huyu Rais ni Chaguo la Mungu lazima tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hakika hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi kwenye hili,

Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

View attachment 2138435

View attachment 2138436
Hata dikteta uchwara bila maombi ya wenye haki leo angee ndelea kuteka na kuua !.ama kweli Mungu Ni fundi...
 
Rais Samia na Tanzania iliyo salama,
 
Dkt Bagonza 😍😍
 
Hivi

HiVI

Hivi kweli unaulewa hata kidogo wa mambo wewe,mtu kukutwa na kesi ya kujibu ndiyo kukutwa na hatia.Kwa uelewa wako huu mdogo kwenye eneo muhimu kama hili linaonyesha ni jinsi gani ulivyo na upeo mdogo wakujua mambo na yote aliyoandika yanakosa maana.
 
Mpishi mkuu ameozea ndani ya tanuri la kuokea mikate.
 
Back
Top Bottom