Leo anahutubia mwenyekiti wao ashaanza?Wewe angalia hotuba za, kina Mbowe wanajitutumua kuongea Hakuna anayejali
Hata Bavicha hawafuatilii hotuba za mwenyekiti wao
Ila Rais Magufuli akizungumza wananunua na bando Kabisa kuja kujadili hotuba za Baba Magufuli
Majibu watayapata oktoba mkuu!Hawa watu wanaboa kwa kweli hawana hoja ya maana zaidi ya kusubiri Rais Magufuli aongee Kitu wapate umbeya wa kujadili mtandaoni na kutoa Matusi ya kudhalilisha
Ila kwa ufupi ni weupe sana, hawana hoja wamejikita kwenye kutukana
hoja yako wewe ni nini?ha ha ha ha ha hawa jamaaa najikuta nacheka tu, hawana hoja za msingi wamebakia kutukana tu.
Unampangia pa kukaa? Au to evidence kutoka kwenye katiba vifungu vip kuonuesha kuwa amekosea,Tatizo mmekariri Rais ana majuku!u mengi zaidi ya Korona hilo amemamchia Waziri husika,
Mbona kiongozi wa UN haongelei korona anaueongea ni Kiongozi wake mdogo wa WHO? Acha kukalili
Chato ni nje ya nchi eti ee?hatumpangii pa kukaa ila tunasema nini cha kufanya (Refer katiba imemp kila mtu uhuru wa kujieleza) kwanini akae chatto nchi iko hatarini kupoteza mamia ya watu ? We huoni ina leta picha ya dharau hizo tena na mpka kahawa alikua anakunywa kipind hiki hiki ch corona
.
UN na WHO wapi na wapi Sasa?? We vipi
Kila jambo na wakati wake. Muda ukifika au akitaka ataongea na hakuna wa kumzuiahana cha kuongea , mwanaume ukishashindwa kazi huna cha kuongea tena , unakaa kwa mbali unaangalia , COWARD OF THE COUNTY aliimbaga marehemu kenny rogers.
Sent using Jamii Forums mobile app
nani anaropoka ovyo..leta mifano.na wanaropokaje hao watu, na wameropoka niniNdio maana wamedata saivi Wana ropoka hovyo hovyo wanatamani aongee
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Kwani hiyo kazi aliyopewa waziri mkuu kusimamia Korona haiwezi(Waziri mkuu na Waziri wa Afuya)?hatumpangii pa kukaa ila tunasema nini cha kufanya (Refer katiba imemp kila mtu uhuru wa kujieleza) kwanini akae chatto nchi iko hatarini kupoteza mamia ya watu ? We huoni ina leta picha ya dharau hizo tena na mpka kahawa alikua anakunywa kipind hiki hiki ch corona
.
UN na WHO wapi na wapi Sasa?? We vipi
Kazi zinaendelea watu wanaenda maofisini kama kawaida, ni haki ya wananchi kujua rais waliyemchagua yuko wapi na anafanya nn.Ni wazi kuwa Wapinzani wa Tanzania wanamkubali sana jemadari Magufuli
Ukifuatilia kwa umakini Rais akikaa kimya wiki moja tu, wanaokuwa na akshi ya kuulizia Rais yupo wapi ni Wapinzani
Mitandaoni huwa wanakosa cha kujadili, Rais Magufuli huwa akitoa maneno mafupi tu hugeuka mjadala kwa Wapinzani kwani wenyewe huwa hawana ajenda
Katika janga hili la corona ambalo bado lipo level ya Waziri Mkuu na linashughulikiwa ipasavyo
Kwa wasio jua ukubwa wa majanga na jinsi ya kuyashughulikia tayari kila Siku wanataka Makamu wa Rais au Rais aongee
Niwaambie Hii corona chini ya ofisi ya Waziri Mkuu inashughulikiwa ipasavyo na tutaishinda
Haina haja ya kutua kwa Mkuu wa Nchi, yeye atabaki kuwa Mshauri Mkuu tu na inavyolekea corona itathibitiwa vizuri sana
Rais Magufuli si mtu wa kukurupuka ni mtu makini sana pengine kwa Sasa Africa ndiye Rais bora kuliko wote
Angalia aghalabu Nchi ya China, Rais wao alitoa hotuba mbili tu tangu kuanza kwa corona hadi kumalizika kwa corona
Suala la corona lilikuwa Chini ya Waziri Mkuu wa China
Kwahiyo Wapinzani hata km mnam miss Rais Magufuli vuteni subira ataongea tu na Watanzania Kwani anawapenda sana Watanzania
Pia ni washauri Wapinzani wawe na ajenda zao, sio kusubiri Rais aongee ndio wapate ajenda mtaendelea kuitwa Wapinzani hadi uzee wenu
Tuendelee kuchukua tahadhari katika kumwangamiza corona.
ha ha na ha ha ha kumbe jamaa amesema ukweli nyinyi ni wazee wakitukana,sasa akili moja kivip ha ha ha huna hoja. Bia yetu@
Hapo kuna tusi gani? Sio kosa langu kwamba uelewa wako ni wa kiwango hicho na unaishia kupewa za uso humu JF! Kaongeze maarifa!Kamanda Mbona matusi ?
Fatilia utaiona.