Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,374 Dec 12, 2010 #1 Hivi najiuliza ile forward ya Kili Stazz bila machachari ya Ngasa itafurukuta kwa the elephants? japo ni mfupi na lishe ndogo lakini ni pigo kumkosa
Hivi najiuliza ile forward ya Kili Stazz bila machachari ya Ngasa itafurukuta kwa the elephants? japo ni mfupi na lishe ndogo lakini ni pigo kumkosa
Ubumuntu JF-Expert Member Oct 21, 2010 14,316 10,782 Dec 12, 2010 #2 Tutaweza. Amini ivyo,tutaweza. Ingawa litakua pengo lakini mwalimu anajua jinsi ya kuziba.
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Dec 12, 2010 #3 Mods unganisheni na https://www.jamiiforums.com/sports-...4782-kili-stars-bila-ngasa-kuwavaa-tembo.html
Mods unganisheni na https://www.jamiiforums.com/sports-...4782-kili-stars-bila-ngasa-kuwavaa-tembo.html
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,374 Dec 12, 2010 Thread starter #5 Albedo said: Itategemea nani Mgeni Rasmi Click to expand... Hapo Mkuu umelenga
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,497 17,372 Dec 12, 2010 #6 Bila ngasa ni maigizoo tupuu yatakuwa sio mpira unaojuaa na kuutamani kili stars kuonyesha......unafikiria galasa mwaikimba ana lolote jipya???
Bila ngasa ni maigizoo tupuu yatakuwa sio mpira unaojuaa na kuutamani kili stars kuonyesha......unafikiria galasa mwaikimba ana lolote jipya???