Bila Ngasa wataweza?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,377
Hivi najiuliza ile forward ya Kili Stazz bila machachari ya Ngasa itafurukuta kwa the elephants? japo ni mfupi na lishe ndogo lakini ni pigo kumkosa
 
Tutaweza. Amini ivyo,tutaweza. Ingawa litakua pengo lakini mwalimu anajua jinsi ya kuziba.
 
Bila ngasa ni maigizoo tupuu yatakuwa sio mpira unaojuaa na kuutamani kili stars kuonyesha......unafikiria galasa mwaikimba ana lolote jipya???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom