Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
889
1,515
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu; ................”

Zaidi soma makala hii Umuhimu wa maombi kwa Rais na wote wenye mamlaka katika nchi

1618981561778.png

1618981600531.png
 
Kwa kuwa tunaamini kwamba mioyoyo ya Rais na wasaidizi wake huwa katika mkono wa Mungu mwenye-enzi; kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo tukiomba sawasawa na mapenzi yake kutimizwa hapa duniani; na kutokana na mafundisho ya Yesu Kristo, kama alivyosema "Tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo" (Mathayo 18:18-20 “Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni. Tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.).
 
Kwa kuwa "Msimamizi Mkuu wa Katiba na Sheria za nchi, na mamlaka yote ya Serikali yapo mikononi mwa Rais, kwa mujibu wa Katiba ibara za 33 na 34 nchini Tanzania; na ndio maana kuna umuhimu mkubwa wa kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan, kuliko tuwazavyo ili atimize mapenzi ya Mungu; na kujenga mahali palipobomoka nchi; bila kuwasahau wasaidizi wake katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1618995509382.png

Back
Top Bottom