MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Tofauti na vijana wengine ambao hawawezi kutembea kilomita 5 bila kutumia magari makubwa
Mwanadada Jokate DC wa kisarawe amepewa uchifu wa Kizaramo hasa kutokana na mchango mkubwa alioutoa kwa watu wa Kisarawe, baada ya kukamilisha kuzunguka wilaya nzima ya Kisarawa ,Jokate alishiriki uwekaji jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa madarasa matatu yanayojengwa na kampuni ya Yapi Merekezi kama moja ya majukumu ya kampuni hiyo kwa jamii (CSR) safari yote hii alitumia gari ndogo aina ya Suzuki Sierra mali ya wilaya ya Kisarawe.
Uongozi unaoacha alama