Bila Kutekeleza Matakwa ya Waislamu Hakuna Katiba Mpya

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam

Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba

otherwise, katiba mtaisikia CNN
 
Mdau nadhani hii sio maana ya mahakama ya kadhi, mahakama hii kama watairuhusu itahusika na waumimi wa dini ya kiislam tu!
na si vinginevyo, jirani zetu nchi ya Kenya wamekuwa na sheria hii kwa muda sasa lakini haihusiki na watu wa dini nyinginezo
na katiba yao inaelezea kuwa sheria hizo za kadhi ni kwa ajili ya watu watakaoconfess uislamu.
sina interest yoyote na dini ya kiislamu
 
lengo ni kuslimisha dunia nzima.

kalaghabaho.
 
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam

Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba

otherwise, katiba mtaisikia CNN

Umeambiwa na nani kutujuza?
 
Ndio manake kama mna uwezo wa kuwashawishi wakristo waislamu wapagani na madhehebu mengine basi ruksa ila isiwe kwa UPANGA AU KODI YA JIZIA Lakini nina shaka bado kama hilo litawezekana maana hata mtume Mohammad SAW alishindwa kwenye azma hiyo Alipata mafunuo na kutujuza kwamba Mwenyezi mungu angetaka tungekuwa kundi moja na mchungaji mmoja lakini hitilafu miongoni mwenu ni LAZIMA ziwepo! Kumbe basi watakao taka wote tuwe waislamu si mapenzi ya ALAAH bali wanakufuru na ni MAKAFIRI WABAYA na sehemu yao jehennam kwenye tabaka la chini la MOTO!
 
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam

Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba

otherwise, katiba mtaisikia CNN

Ndio manake kama mna uwezo wa kuwashawishi wakristo waislamu wapagani na madhehebu mengine basi ruksa ila isiwe kwa UPANGA AU KODI YA JIZIA Lakini nina shaka bado kama hilo litawezekana maana hata mtume Mohammad SAW alishindwa kwenye azma hiyo Alipata mafunuo na kutujuza kwamba Mwenyezi mungu angetaka tungekuwa kundi moja na mchungaji mmoja lakini hitilafu miongoni mwenu ni LAZIMA! Kumbe basi atakaye wote tuwe waislamu wanakufuru na ni MAKAFIRI WABAYA
 
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam

Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba

otherwise, katiba mtaisikia CNN

nasikitika sana kuskia upuuzi na maneno yako sasiyo na malengo ya kujenga, we unadhani Tanzania ni nchi ya kidini, na hata hzo nchi za kidini hazilazimishi mtu kufuata mambo yanayohusu dini yao.

Mimi ni muislam lakini umenikera na post yako. Udini haujengi bali unaleta matabaka,
 
kwani mahakama zilizopo sasa zinamapungufu gani? kwasababu uwe mkristo au muislam katika mahakama za sasa hakuna ubaguzi wowote. Sasa mahakama ya kadhi inataka kutofautiana nini na ile iliyopo sasa au iliopo sasa inamapungufu gani kwao?
 
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam

Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba

otherwise, katiba mtaisikia CNN

Duhh, hatukuungi mkono, waIslam tunataka haki zetu za msingi na haki za msingi la kila raia.

"La kum dinna kum Waliya Din"
 
lengo ni kuslimisha dunia nzima.

kalaghabaho.

Tatizo ni kwamba hii approach imeganda katika medieval concepts.

Ukitaka kuslimisha dunia nzima leo, kitu cha kwanza kusema ni kwamba hutaki kuslimisha dunia nzima na unataka demokrasia. Wamarekani wanaslimisha dunia nzima kwa kutumia teknolojia na Internet, hawasemi kwamba wanataka kuslimisha dunia nzima.

Ukisema unataka kuslimisha dunia nzima, hiyo ndiyo njia ya kweli kuliko zote ya kufanya watu wakatae kuslimishwa.

Usitake kuleta mbinu za panga na visu zilizotumika katika crusades miaka takriban elfu iliyopita katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia wa leo.
 
Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam

Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba

otherwise, katiba mtaisikia CNN

I am shocked that this bullshit is still in JF and mods think that it is a home of great thinkers... i personally say this... this thread sucks, aliyeleta )(*&^%$%^&*() na aliyeacha watu wachangie &*(*&^

to be honest, even wise muslims dont expect this one in this country

Invisible and your team

the ball is in your court
 
Nina wasiwas na huyu KIUMBE alieanzisha hii THREAD kama ni muislam kweli na kama ni muislam basi ni JAAHIL wa dini yake au Myahud ametumwa!!!Kuna aya nyingi ndan ya Qur'an Tukufu zinazotufundisha waislam kutowalazmisha wengine kuingia ktk din yetu.
Allah anasema ktk surat Baqarah"HAKUNA KULAZIMISHANA KTK DINI KWANI TAYARI UONGOFU UMESHAPAMBANUKA KUTOKA UPOFU,NA ATAKAYE MPINGA TWAAGHUT(SHETAN)NA AKAMUAMIN ALLAH HUYU AMESHIKA KISHIKO KISICHOVUNJIKA"Qur'an2:256
 
Back
Top Bottom