Bila kumung'unya maneno na unafiki Makamba acha kuihujumu Tanesco

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Bila kumung'unya maneno na unafiki Makamba acha kuhujumu Tanesco. Wewe ndio muhujumu nambari moja wa shirika kwa kushirikiana na watu wako

Unamiliki biashara za majenereta na mafuta. Una share kwenye makampuni ya kuingiza mafuta hapa Tz

Taifa gas napo nasikia una percentage yako ndio maana ulifanya ziara ya kugawa mitungi ya gesi kumbe ni ajenda zako binafsi

Huu umeme unakatika hivi kwasababu ya ajenda za Makamba anafanya biashara katengeneza tatizo la mgao ili anufaike na apige hela

Wewe sio mzalendo hata kidogo ni mtu usiyefaa kabisa kuongoza hiyo wizara ni aibu sana kwa mtu kama wewe kuendelea kuaminiwa kwa kupewa wizara nyeti kama hizo.

Shame on you mimi sio mnafiki wala simungunyi maneno, unastahili kuchunguzwa na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi

Nimeandika na sifuti, mimi sio chawa au mchumia tumbo wa mtu yoyote kwa maana sipendag unafiki ukweli ni lazima usemwe
 
Kama ni kweli basi makamba atakua na shida. Sasa sisi watu Itilimba ambao hatuwezi hata kununua jenerata anatuonea kwa sababu gani??
 
Bila kumung'unya maneno na unafiki Makamba acha kuhujumu Tanesco

Wewe ndo muhujumu nambari moja wa shirika kwa kushirikiana na watu wako

Unamiliki biashara za majenereta na mafuta

Una share kwenye makampuni ya kuingiza mafuta hapa Tz

Taifa gas napo nasikia una percentage yako ndo maana ulifanya ziara ya kugawa mitungo ya gesi kumbe ni ajenda zako binafsi

Huu umeme unakatika hivi kwasababu ya ajenda za makamba anafanya biashara katengeneza tatizo la mgao ili anufaike na apige hela

Wewe sio mzalendo hata kidogo ni mtu usiyefaa kabisa kuongoza hiyo wizara ni aibu sana kwa mtu kama wewe kuendelea kuaminiwa kwa kupewa wizara nyeti kama hizo.

Shame on you mimi sio mnafiki wala simungunyi maneno, unastahili kuchunguzwa na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi

Nimeandika na sifuti, mimi.sio chawa au mchumia tumbo wa mtu yoyote kwa maana sipendag unafiki ukweli ni lazima usemwe
Punguza makasiriko mkuu kimsboy
Hakuna kiongozi katika nchi hii alishapelekwa mahakamani Kwa kesi ya uhujumu uchumi.
Nachotaka kusema ni nn; em kuwa mpole tu watu wafanye Yao.tuwabebeshe mzigo wa lawama wao km sisi tulivyobebeshwa wa Dhambi ya kurithi.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nasikitika idara yetu ya usalama wa taifa walishindwa kufanya vetting na kusababisha Mtu fisadi Kama Makamba kuwa waziri.

Hatuna idara kabisa inakuwaje wafanyabiashara wanapenyeza mtu wao awe waziri na idara inakubali?

Imagine mtu mpunbavu Kama Makamba anapambwa eti aje kuwa Rais Fisadi Mkubwa Huyu.


Halafu Samia naye anamkenulia meno tu upumbavu anaogopa kumfukuza maana atarudi twitter (Kidogo)kumchana.

Hatuna serikali kiufupi!!!!!
 
Makamba kwenye deal la taifa gesi au tenda za tenesco na wadau wa nje anahusika ila Mgao wa umeme kwake hauna faida labda dili la operation Manager.
 
Unateseka ukiwa wapi ?

IMG_20211228_160309.jpg
 
Back
Top Bottom