Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

Naomba ufafanuz hapo hapo mkuu kujiongeza thamani kivipi? Na je kama mtu huna kazi wala biashara wala mtaji thamani yako unaongea Vip ili kupata pesa
Kwanza usiwe na mtazamo wa kwamba hali ni mbaya, uchumi umeshuka, maisha ni magumu, kwa hali hii kutoboa ni vigumu, pesa hakuna.(programmed)

Unatakiwa uwe na mtazamo wa kwamba pesa zipo, tena nyingi tu. Unatakiwa kutambua ni namna gani utapokea au utazipata kama wengine wanavyopokea fungu lao.

Kujiongeza thamani, ni pale unapoangalia wewe unaweza kufanya nini ili upate pesa, au unapenda ufanye nini au umesomea nini. Chochote tu kile ambacho wewe mwenyewe binafsi unaamini kwa dhati kabisa ukikifanya utafanikiwa.

Fanya jambo lako kwa ubora wa hali ya juu kwa nidhamu na uvumilivu, bila kuchoka wala kukata tamaa mpaka ufanikiwe kwa kuweka nia haswa na nguvu zote unaelekeza hapo.
 
Acha ujinga
Unamjua MWAMPOSA wewe ..
He make somebody's future kwa mafuta na mkate wa upako

There is no Gold, water or Prophet will make you step into your future, but yourself have to create the future you desire with your own hands.
 
Huu ukweli haukuna kijana atapenda kuusikia .. umeshiba haswa 😁

Moja Kati ya vitu nilivyovigundua katika maisha haya ni kwamba

1.ukisubili upate kazi ndiyo uweze kuanza maisha utachelewa sana .

2.ukisubili upewe mtaji na wazazi au ndugu zako wa karibu ufanye biashara utachelewa sana

3.ukisubili marafiki zako wa karibu wakusaidie kupata kazi au kukupa fursa utachelewa sana .

4.ukisubili wazazi au ndugu waliofanikiwa ndio waamue hatma ya maisha yako utachelewa sana

Katika haya maisha nilichogundua bila kujiongeza kijana mwenzangu hakuna mtu atayetokea kuja kukusaidia kutatua changamoto zako zinazokukabili bila wewe kujiongeza ninaposema kujiongeza hapa nina angalia maeneo Makuu matatu eneo la kwanza kujitegemea
eneo la pili plan ipi utatumia kuendesha maisha yako ya kila siku
eneo la tatu kutengeneza familia yako ya

Nikianza na eneo la kwanza kujitegemea kijana unapoanza kufikiria kujitegemea ndipo akiri inapoanza kukuaa ufahamu wapi pakuanzia

Eneo la pili ni plan ipi utatumia kuendesha maisha yako ya kila siku hapa nina maana kama kijana unatakiwa utafute plan ya kuendesha maisha yako kama unaona issue za kazi hazija kaa poa basi karibu biashara au kazi nyingine

Eneo la tatu ni mahusiano familia yako ya badae hapa ninazungumza especially vijana wa kiume kama upo nyumbani ni ngumu kupata mwanamke ambae atakuwa tayali kufanya maisha na wewe kama upo nyumbani bado

Kama una lolote la kuongezea ruksaa
 
Mungu wa ajabu sana ndo mana mtu unaeza ukawa pekeako bila familia na kipato kisikutoshereze yan pesa inakua haikutoshi kabisa
Lakin cha ajabu unashangaa rafiki ako mwenye mke/mme na watoto mna kipato sawa na bado anaendesha familia bila kulalamika
Kuna namna tu mda mwingine Mungu huweza kuona huyu mtu anawatu wanamtegemea na kuamua kukupendelea
Sasa wewe umependelewa kiimani tunaita iyo ni "TANGIBLE BLESSING
 
Acha ujinga
Unamjua MWAMPOSA wewe ..
He make somebody's future kwa mafuta na mkate wa upako
Ukweli ngoja nikubali kua mjinga, lakini huyo mwamposa mimi namuona tu tapeli kama matapeli wengine tu.
Na hakuna mtu yeyote aliewahi kutengeneza future yake kwa mafuta ya upako, future haitengenezwi kwa imani.
 
Ukitaka kuanza maisha ya hivyo focus Kwanza nini utakwenda kufanya, jichange unavyosema hicho ulichopata kaanzishe mfano duka la mahitaji vya vyakula Sasa tafuta sehemu Kuna makazi ya watu ili humo dukani ndo uwe unalala na Kama ni saluni Basi hivyo hivyo unalala humo humo, so kwavile ni makazi ya watu nirahisi kupata pa kuoga na huduma za muhimu.
 
Nilitegemea Uzi utapata wachangiaji wengi lakini wapi .naona watu wanachungulia na kusepa !😶😶
 
The future is not something we enter into, it's something we create. There is no tablet which will give you prosperity and there is no medicine will take you to a better future, the future is something that you create by yourself.
Duhhhhh....
Nimejikuta najiuliza kama nimimi kweli ndie nilishusha hii nondo...🙄
 
There is no Gold, water or Prophet will make you step into your future, but yourself have to create the future you desire with your own hands.
Kumbe zamani nilikua njema sana aiseeee...🤔🤔
 
And remember, your future is not a miracle or mystery, it's harvest of choice you make today. So if you make the right choices today, then you gonna have a bright and better future...
Naacha pombe ili akili za zamani zikuje tena..🤨
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom