Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

Kuna story aina tatu kuhusu vijana flani nawafahamu ambao walikuwa wanaishi nyumbani

1.story ya kwanza inaanzia kimara ktk bomoa bomoa ya mwaka 2016 nyumba yao ilibomolewa kuna kijana alikuwa analia sana hajui wapi watakwendq

2.story ya pili ilikuwepo maeneo ya tabata kuna kijana alikuwa analia nyumba yao inauzwa baba yao alikopa Benki hawajui wapi pakwenda hawajui wataishi vipi

3.story ya tatu kuna kijana nyumba yao iliungua na moto kinondoni Yule kijana alikuwa anamwaga machozi maana alikuwa anaona uchungu hawajui wataishi vipi

Sasa kama kijana ni aibu una miaka zaidi ya 30 unalia hujui utaishije ni bora uanze mapema hata kama una kidogo
 
Kweli mkuu n ngumu sana lakin hakuna namna n kupambana tu.
Wazaz wengne yaliyomo vichwan mwao wanayajua wenyew. mzee wangu n contractor wa ujenzi, nimemaliza chuo mwaka Jana alichofanya n kuninunulia godoro na kunipa chumba kwenye moja ya nyumba zake mengne nijijue mwenyew. Napambana sana kuna wakat ata hela ya kula nakosa kabisa na mzee unaongea nae yote lakin swala la kumuomba ufanye kazi kweny kampuni yake au umuombe hela kama n simu anakata muda huohuo, hatak kusikia.
Kijana mwenzangu nakutia moyo husikae kusubir kushikwa mkono umri haukusibiri, pia katika changamoto hzi unajifunza mengi sana.
kipind cha mwanzo nilikua naogopa sana lakin sas hvi nishazoea kibishi maisha yanaenda

Sema kuna wazee kavu sana .
Hawa ndo wale wanataka tabu alizopitia yeye basi na watoto pia wapitie ..hatari sana.
 
😂😂 mkuu huyu mzee wangu namjua vizuri sana, kichwa changu kisipochaji hawezi nisaidia chochote. Nimemaliza Chuo nilitoka na kitu kama laki 4 na kadhaa hapo nikamgusia mzee kwamba aniconnect na wanaopeleka nguo minadani huko ili niwe naenda nao, mzee ana shop hapa town na watu wengi wanakuja kufunga mzigo kwake so ni rahisi kuniconnect nao nikapate hata experience (imagine sijamuomba hata mia yake), mzee akanipiga jicho kali (sijawai kukaa na mzee kupiga story kabisa, inshort japo ni mzee wangu lakini sijamzoea ) nilijua tu atanidissapoint sema nikitaka kujaribu tu, kwa Ufupi alizingua akasema wewe kua na subira utapata ajira..😅😅
Hahahah mzee wako unashindwaje kuzoeana nae mzee. Ukiona hivyo ujue bado anaona una akili za kitoto ndio maana hamuendi sawa.

Kaa nae chini mtie madini atakuelewa tu mkuu. Damu yako hamuwezi shindwana japo yeye anaamini utatoboa ukiajiriwa.
 
Mimi nilichelewa sana kuhama nyumbani nikiwa na malengo yangu kichwani.
Watu wa mtaani waliniletea dharau wakiniona kama mimi ni kubwa jinga kumbe nilikuwa na target zangu,nilipohama nyumbani nikahamia kwenye nyumba yangu moja kwa moja yaani kiufupi sijawahi kupanga.
Sasa ningekurupuka kwenda kupanga kipindi hiki cha magu ningedhalilika sana hata kwa kutupiwa vitu nje na mwenye nyumba.
Maana muda mwingine hela huwa zinagoma unapita mwezi mtu hujaingiza hata laki 2 halafu imagine ndio kodi imeisha na watoto wanahitaji kula kila siku utafanyaje?na sasa hivi hata ukihitaji elfu 10 kwa mtu hakuna anayekupa.
Mahesabu mazuri sana ulipiga mzee...Ulikimbiza mwizi kimya kimya hio ndio tafsiri yake japo kuna watu walikuona huna akili.

Sahivi ef 10 tu watu simu hawaokoti😂😂😂
 
Hahahah mzee wako unashindwaje kuzoeana nae mzee. Ukiona hivyo ujue bado anaona una akili za kitoto ndio maana hamuendi sawa.

Kaa nae chini mtie madini atakuelewa tu mkuu. Damu yako hamuwezi shindwana japo yeye anaamini utatoboa ukiajiriwa.
😂😂 mzee wangu ni mkoloni vibaya mno...sema hapo umesema kweli kabisa anayo imani kwamba nikiajiriwa nitatoboa ...sema na Mimi na mipango yangu mkuu lakini sidhani wazee wetu pia wako sawa asilimia 100 vingine kama mtoto inabidi nijiongeze.
 
Hoja mezani sio kutoboa, bali ni kuanza maisha ya kujitegemea... nafikiri ni vitu viwili tofauti!
we fuata maneno ya motivation speaker oo lizer alianza kuchimba madini na kijiko wafwa. ukizungumzia neno maisha kichwani kwako kuwe na vitu viwili fedha na mapenzi
 
Mambo magumu sana broh, kwa watu wenye projects zenu mtukumbuke graduates jaman naamini tunao uwezo mkubwa wa kufanya vitu kwa ubora mzuri na kwa gharama ndogo tu angalau wote tusogeze maisha
ccm nayo inaturudisha nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom