Bila Kujali Itikadi ya Vyama nani Zaidi ?

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
WanaJF,

Sote tunajua 2015 kutakuwa na Uchaguzi mkuu, kwa haraka haraka nimegundua kuna majina 2 ya watu wenye nguvu na wanaotajwa sana kuliko wengine kwa nafasi ya Urais endapo watapendekezwa na vyama vyao

1. Wakwanza ni Dr. W. SLAA
2. Wapili ni ni E. Lowassa

Wengine wengi wapo wapo lakini hao wa wili wanatajwa mno kuliko wengine, mimi sijui kwa maeneo mengine ya pande za nchi hii lakini mahali pengi nilipofanikiwa kupita hali iko hivyo na kama kweli ikatokea wakapitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo ya Urais

Basi uwezekano ni mkubwa aliye wa kwanza katika orodha hiyo akaibuka mshindi

Nawasilisha
 
image.jpg Huyu alikuwa anatambulishwa kwa wananchi ....mtendee haki.....
 
Ccm na serikali haimtaki mtu toka kaskazini.
Ndugu yangu labda sijaeleweka vizuri, bila kujali itikadi ya vyama, dini, ukanda wala ukabila, ukweli ndo huo au ndio wanasiasa ambao wako juu zaidi kwa sasa
 
Huku anaeongelewa ni Lowassa tuu,hawataki raisi ambae anajipangia mshahara na kua na mtoto badala amuite baba mtoto anamuita babuu
 
Jadili Hoja na si kujadili Mtu ndo maana watanzania tunadharaulika hivyo hivyo japo watazania wengi hatuko na akili kama yako
 
WanaJF,

Sote tunajua 2015 kutakuwa na Uchaguzi mkuu, kwa haraka haraka nimegundua kuna majina 2 ya watu wenye nguvu na wanaotajwa sana kuliko wengine kwa nafasi ya Urais endapo watapendekezwa na vyama vyao

1. Wakwanza ni Dr. W. SLAA
2. Wapili ni ni E. Lowassa

Wengine wengi wapo wapo lakini hao wa wili wanatajwa mno kuliko wengine, mimi sijui kwa maeneo mengine ya pande za nchi hii lakini mahali pengi nilipofanikiwa kupita hali iko hivyo na kama kweli ikatokea wakapitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo ya Urais

Basi uwezekano ni mkubwa aliye wa kwanza katika orodha hiyo akaibuka mshindi

Nawasilisha

Hawa mababu hawa sidhani kama watatufaa sana, tena huyo wa kwanza HAPANA, ni mgomvi sana
 
Jadili hoja na si kujadili watu, Zimbabwe chini ya Mugabe iko poa haijateteleka, Kenya ya Mwai Kibaki ilikuwa imetulia, Zambia ya Rais Satta inapaa, South Afrika ya Mh. Ambaye ametutangulia Madiba ilitulia na ikapaa kiuchumi,
Kwa hoja yako hapo unataka kuwaeleza nini wananzania ?
 
WanaJF,

Sote tunajua 2015 kutakuwa na Uchaguzi mkuu, kwa haraka haraka nimegundua kuna majina 2 ya watu wenye nguvu na wanaotajwa sana kuliko wengine kwa nafasi ya Urais endapo watapendekezwa na vyama vyao

1. Wakwanza ni Dr. W. SLAA
2. Wapili ni ni E. Lowassa

Wengine wengi wapo wapo lakini hao wa wili wanatajwa mno kuliko wengine, mimi sijui kwa maeneo mengine ya pande za nchi hii lakini mahali pengi nilipofanikiwa kupita hali iko hivyo na kama kweli ikatokea wakapitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo ya Urais

Basi uwezekano ni mkubwa aliye wa kwanza katika orodha hiyo akaibuka mshindi

Nawasilisha
mbona watanzania waungwana na wachapakazi wako wengi tu. au ndo madhara ya kukariri, kuanzia darasani mpaka kwenye maisha huku mitaani?
Tunahitaji mtu atakaeitoa TZ hapo Kikwete atakapoishia kwenda mbele zaidi kwa ufanisi na kwa uadilifu.
 
Hata kama lakini Dr. SLAA hana mpinzani ndo rais 2015

Kutokana na kichapo ambacho Watanzania wamekipata kwa miaka 50 chini ya utawala wa CCM. Uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kati ya haki na dhuluma. Na kigezo kikubwa na muhimu kitakachotumika na kuchaguliwa na wananchi ni uadilifu wa mgombea. Na bahati mbaya sana ndani ya CCM hakuna aliye msafi. Hivyo ni wazi kwamba upande wa haki utashinda.
 
Bila kumung'unya maneno hapo Lowassa akibahatika kupitishwa na Chama chetu ndo rais CDM malizeni migogoro yenu hii namba ya urais haipatikani kwa 2015 jaribu tena 2020..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom