Bila kufuta kesi ya Mbowe, Siri za Serikali na Mambo ya ulinzi yanatufikia Raia hata tusiojua kusoma alama za nyakati

Basi kwa vile sikuifuatia sana, nitaanzisha uzi kila mchangiaji aeleze alichokigundua!
 
Tuende mbali zaidi, inawezekana hawa akina Jumanne, Kingai, Mahita na Goodluck ndiyo walimpiga risasi Tundu Lissu, na hawa ndiyo watu wasiojulikana.
 
Mengi mazuri yaliyofanywa na utawaule uliopita yanawezwa kufunikwa na kutupwa mbali na mabaya machache yaliotokea.

Mfano kesi hii, vile ilivyoandaliwa tokea kipindi hiko mpaka leo gharama zilizotumika na zinazoendelea kutumika hali haina faida yoyote.

kwa ufupi ni kesi ya kisiasa na faida ilikua ni kwa walioiandaa na kwa sasa hawapo tena sijui hawa waliopo leo wanafaidika na nini au watafaidika na nini wanapoendelea kuing'ang'ania.

Ngoja tuone mwishowe. Sisi wananchi hatutakosa la kujifunza.
Naunga hoja yako mkono uko sahihi
 
Back
Top Bottom