Bila kuathiri hisia za mke/mume njia gani nzuri ya kumkatalia kufanya tendo la ndoa usipohitaji?

Mwambie, ongea nae kwa lugha ya upole na unyenyekevu kuwa leo haupo katika mood nzur na umpe sababu za ww kuwa hvyo ata kama nizauongo huku ukitanguliza samahani kwa kushindwa kumtimizia aja zake na kumuahid angojee mda mwingne utakapo kuwa sawa utamtimizia sawa sawa na mahitaji yake, ukiisha maliza kusema hvyo usimuache alale tu hvyo hvyo mkumbatie kwa nguvu na umueleze ni kwajins gan unampenda na kumthamin.

NB: usifanye hvyo kila siku atajua unamfanyia makusudi
Hivi katika hali hiyo inakuwaje kama kweli mume nahitaji mbususu?
 
Huu uFalla huwa hauna SI Unit...

Ila muhimu ni kujicontrol tu hisia,,, Japo ndani ya ndoa ukinyimwa game inakata sanaaaaa na hii inatokana na kwamba kwa tamaduni zetu kitu pekee mwanaume anakifurahia kwa wife wake huwa ni kugegeda...

Wachache sana huwa na vitu extra so akikunyima game unaona kama hamna raha tena...

BTW twende tu hvohvo,,, Mapenzi uFalla sana sometimes
 
Mara nyingi nivingizio tu wala sio kweli.

Wachache inatokea, lakini sio kila wakati.

Kufanya inaweza kutofautiana watu na ndoa zao. Umri nakadhalika.

Twice a week, three times or 4 times itategemeana na

1. Umri wa wahusika ..... high frequency for young people wanapapara nyingi na viround vya pop up. Wamefika, ghafla tena hao.....

2. Umri wa ndoa, mwanzoni wanaham, hamasa na kutamaniana. High frequency baadae wanachokana, frequency inapungua. Hapo ubunifu unahitajika zaidi kuamsha hisia za mwenza. Outing, vizawadi, visifa, kumbukizi mlikotoka nk

3. Umri mkubwa, few frequency heavy round with longer activities..... hawafanyi mara kwa mara kama ilivo kwa wavulana na mabinti however mziki wao ni heavy na sounds very satisfactory

4. Wazee hata miezi 6 au mwaka wao sawa tu yaani inabakia tamaaa ya macho, mitambo choka mbaya hususani wanaume

Hivyo inategemeana na wahusika wapo level gani

Lakini wengi wanafanya hivyo baada yakuwa wanapewa dozi za wizi nje. Wanaume/wanawake wanaopewa mechi za nje hushibishwa na tamaa za kuiba. Wafikapo nyumbani visingizio tu na uwongo mwingi kumbe kaliwa huko chini ametepeta au umekula uchochoroni kitu legevu kabisa wala kusimama dede haiwezi. Ilikukwepa kujulikana wanaishia ..... oh, nimechoka...... naumwa tumbo...... mgongo upumbavu tu.
 
Mwambie, ongea nae kwa lugha ya upole na unyenyekevu kuwa leo haupo katika mood nzur na umpe sababu za ww kuwa hvyo ata kama nizauongo huku ukitanguliza samahani kwa kushindwa kumtimizia aja zake na kumuahid angojee mda mwingne utakapo kuwa sawa utamtimizia sawa sawa na mahitaji yake, ukiisha maliza kusema hvyo usimuache alale tu hvyo hvyo mkumbatie kwa nguvu na umueleze ni kwajins gan unampenda na kumthamin.

NB: usifanye hvyo kila siku atajua unamfanyia makusudi
nahitaji mbususu?
aisee ni ngumu kuelewa lakini yataka moyo yani nataka kujilia tunda yeye aniambie sijikii alafu anikumbatie anikisi mwaaah😋 huko ni kutamanishana.
 
Wakuu,

Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia.
Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na uhasama sana likiwa swala la kudumu.

Ni njia gani atumie nimshauri rafiki yangu naona anapitia wakati mgumu!
Kama una tatizo la uwezo useme, otherwise mpe haki yake muda wote, kokote akitaka...sijui kwa nini wanawake wenye pumzi siwapati mimi niwe najilia muda wote....

Maana mke wangu namtia wastani wa mbili kila siku anaona namuonea, moja la kulalia, moja la kwendea job, hadi siku tukisema kwamba ni special day ndio najiachia zaidi
 
1. Sipo sawa, naumwa.

2. Nimechoka sana, naomba nipumzike

3. Una akiba ya paracetamol?, mtume mtoto akaninunulie
 
Mara nyingi nivingizio tu wala sio kweli.

Wachache inatokea, lakini sio kila wakati.

Kufanya inaweza kutofautiana watu na ndoa zao. Umri nakadhalika.

Twice a week, three times or 4 times itategemeana na

1. Umri wa wahusika ..... high frequency for young people wanapapara nyingi na viround vya pop up. Wamefika, ghafla tena hao.....

2. Umri wa ndoa, mwanzoni wanaham, hamasa na kutamaniana. High frequency baadae wanachokana, frequency inapungua. Hapo ubunifu unahitajika zaidi kuamsha hisia za mwenza. Outing, vizawadi, visifa, kumbukizi mlikotoka nk

3. Umri mkubwa, few frequency heavy round with longer activities..... hawafanyi mara kwa mara kama ilivo kwa wavulana na mabinti however mziki wao ni heavy na sounds very satisfactory

4. Wazee hata miezi 6 au mwaka wao sawa tu yaani inabakia tamaaa ya macho, mitambo choka mbaya hususani wanaume

Hivyo inategemeana na wahusika wapo level gani

Lakini wengi wanafanya hivyo baada yakuwa wanapewa dozi za wizi nje. Wanaume/wanawake wanaopewa mechi za nje hushibishwa na tamaa za kuiba. Wafikapo nyumbani visingizio tu na uwongo mwingi kumbe kaliwa huko chini ametepeta au umekula uchochoroni kitu legevu kabisa wala kusimama dede haiwezi. Ilikukwepa kujulikana wanaishia ..... oh, nimechoka...... naumwa tumbo...... mgongo upumbavu tu.
Umri wangu umeenda ila sijahama kwenye avarage ya vijana...hata kama nitafika umri gani, nikishindwa kupiga show nitamkojoza kwa kumnyonya na handjob kama zote....

Otherwise unataka mkeo wamle wenye uwezo
 
nahitaji mbususu?
aisee ni ngumu kuelewa lakini yataka moyo yani nataka kujilia tunda yeye aniambie sijikii alafu anikumbatie anikisi mwaaah😋 huko ni kutamanishana.
Kwan nyie kwenye ndoa yenu mnaishije bila kuwa wabunifu?
 
Poleni sana wale ambao mnapangiwa siku za kusex yaani mpaka mwenzako ajisikie yeye.

Wanaume wenzangu chukueni hii,
1.Hakikisha unamuoa mwanamke anayekupenda,kigezo cha sura nzuri na matako makubwa hapa si mahala pake

2.Timiza mahitaji muhimu ya familia, lakini usiwe na madeni makubwa kiasi Cha mkeo kujua

3.Usiwe muongeaji sana mbele ya mkeo,porojo zako peleka kwenye vijiwe vya kahawa uko,hii husaidia kuheshimika na siku ukiamua kuongea unasikilizwa

4.Jiamini,si lazima kila siku uanze wewe,na siku akikuanza piga show ya kutosha,siyo kibao kimoja utadharaulika

5.Wale mliopigia magoti wake zenu Ili tu akukubalie,we jua tu kuwa ulishapanda mbegu ya uoga toka mwanzo,yaani Kama ni gari we unasimamia gia

6.Ni vigumu, mwanaume kumkatalia mke kwenye mambo haya,ila wao sasa!!!!!!!!!
Wanaume popote mlipo
TUTAFUTE PESA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mawazo yako mazuri lakini kipato na kazi hutegemeana na muhusika gharama za kusafiri bila sababu ya mwenza kujua au msingi ni ugomvi mpya huo.

Uingie kwenye dozi ya maralia kweli!
Unatengeneza antimicrobial resistance usugu wa vimelea vya magonjwa kushindwa kutibika..bora mkae muyaongee tu..mtaelewana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom