Bila kuathiri hisia za mke/mume njia gani nzuri ya kumkatalia kufanya tendo la ndoa usipohitaji?

Ni vizur km wanandoa kuwa na ratiba juu la suala hlo lakin pia n kuwepo na visms vya hapa na pale vya kutegana ht km mwenzio hana hamu basi kunauwezekano wa kumpandisha hisia na kujua mood yake km leo kuna game au la. Hayo n mawazo yangu tu labda wengine watakuja kukupa upeo mpna kabsa
Haina ratiba hiyo brother, zikipanda kama kuku tu kimbiza, kamata, panda....
 
Hakuna njia nzuri ya kukataa kufanya tendo la ndoa. Njia yoyote utakayotumia mwenzio atajua tu kwamba unazingua, sema anaweza akupotezee tu. Cha maana isiwe ndio tabia yako ya kila siku maana hapo utaleta ugomvi.
 
Wakuu,

Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia.
Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na uhasama sana likiwa swala la kudumu.

Ni njia gani atumie nimshauri rafiki yangu naona anapitia wakati mgumu!
Kama mwanamke anamkatalia mumewe tendo asikatae kavu kavu japo ampe blow job mpaka ahakikishe mumewe anatapika.

Kama mume anataka kumkatalia mkewe basi japo amchezee mkewe japo kwa kusugua CD mpaka aridhike kwa uchache wake.

Inakera sana unamkatalia mumeo/mkeo kama unamkatalia mtu anayekutongoza uswahilini.

Uko wapi upendo baina yenu wanandoa,yako wapi mapenzi na huruma,kukataa lazima uoneshe juhudi fulani sio unasema hutaki au hujisikii tu nooooo nooo nooo
 
Jiulize kwa nini huna hamu na mwenzio wkt anakuhitaji?

mna ugomvi?wasiliana msameheane
Una stress?mwambie kuna jambo linaninyima raha hata nakosa hamu ya xxx
Nk...
Unachepuka?.hamu za mkeo/mumeo unamuachia nani?

huwa kuna sababu..!
 
Bwana kanikumbusha neno lake

1 Wakorintho 7:4,5
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
⁵ Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
 
Wakuu,

Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia.
Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na uhasama sana likiwa swala la kudumu.

Ni njia gani atumie nimshauri rafiki yangu naona anapitia wakati mgumu!
Wakuu,

Katika majukumu muhimu ya wanandoa ni kutimiziana haja za maumbile na kihisia.
Kuna wakati hutokea mmoja wapo hajisikii kufanya chochote ili kumtimizia mweza wake! Na hii huleta ugomvi na uhasama sana likiwa swala la kudumu.

Ni njia gani atumie nimshauri rafiki yangu naona anapitia wakati mgumu!
Wekeni ratiba kama kwa wiki mara tatu au mara mbili au mara moja..
 
Back
Top Bottom