Bila kazi yako,biashara yako,utaweza kudumu kwa muda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila kazi yako,biashara yako,utaweza kudumu kwa muda gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, May 26, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  waTanzania tunajitahid kufanya kazi. Wengi wetu tumeajiriwa,wengine wamejiajiri wenyewe na wengine kama wachaga na wakinga wanajishughurisha na biashara.
  Hoja yangu ni juu ya nin kinaweza tokea duniani. Fikiria umeenda kazini ukakuta barua ya kuachishwa kazi,au umeenda kwenye biashara yako ukakuta moto ndo unamalizia paa za duka lako...Je katika kipindi hcho utaweza kustahimil maumivu ya maisha? Shime waTanzania tujijengee tabia ya kuweka akiba ili hata ukipata matatzo tajwa hapo juu,tuweze ishi walau mwaka mmoja na zaid.. Offer za bia 2zitoazo bar na starehe zngne hazitusaidii kitu..
  Wasalaam rafiki yenu mpendwa
   
 2. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimeipenda hii umenigusa.,
   
 3. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  da ila ngumu, maana kipato chenyewee?
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Una akali sana. Watanzania hatuna utaratibu wa kujiwekea akiba. Inafikia wakati ukiimwa ndugu wanachanga uende hospitali, achilia mbali magonjwa makubwa hata vigonjwa vidogo vidogo unasaidiwa.

  Asante kwa kutukumbusha!
   
 5. p

  puto Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  asante sana kwa elimu yako mkuu
   
Loading...