Bila Katiba mpya Demokrasia imezikwa

Silverone

Senior Member
Jun 29, 2018
126
186
Wadau wanajukwaa,

Kuna kila sbb ya kudai katiba mpya, bila Katiba mpya ccm wataendelea kutufanya vichwa vya wendawazimu, hivi kwa mazingira ya sasa, unaweza kuamini kuwa ccm inaweza kupita bila kupingwa? Pamoja na hayo kumekuwepo na matumizi makubwa ya nguvu toka jeshi la Polisi, ktk uchaguzi unaoendelea Polisi wamemwagwa ktk ofisi za watendaji na wakurugenzi kuzuia wagombea wa chadema wasirudishe fomu, haya yametokea,
1. Iringa
2. Tunduma
Ukiacha Polisi wapo ma DC, ma RC na wakurugenzi ambao wanaingilia uchaguzi ili kukibeba chama cha Mapinduzi, wote hawa ni makada wa ccm, rai yangu tudai katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2019/2020
 
Sio MaRC na Polisi tu bali hata hapa jukwaani maana hii thread haitakaa hata saamoja. Itatolewa sasa hivi
 
Back
Top Bottom